Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Nakuaminia mkuu hata nai nai ulisema itakimbiza na kweli nai nai imekimbiza kumshika ommy dimpoz baadaeeeeeee!!
Mkuu, ommy dimpoz ndio nani? Tujuze nasi tumfahamu,,ili twende sawa!
,kwi kwi kwi kwi kwi
Mkuu, ommy dimpoz ndio nani? Tujuze nasi tumfahamu,,ili twende sawa!
Kichupa kimesimama mzazi trust me!humo dimpoz kakoga hatari halafu hizo shots za adam juma kama hype williams!!!
Anayemkaza lisa jensen!
Kama kuna nchi ya mapimbi na maboya wewe unastahili kuwa mfalme wao!!!unamwekea dhamana mtoto wa kike!dah!badilika mwana hawa watoto wa kike wanakazika tu!wewe kama una demu utakuwa unagongewa sana kwa ku underestimate wanaokugongea!domo raia walipinga kama anamkaa kidot sasa mambo hadharani!Ntakubaliana na uzushi wote unaoleta huku...ila la omy dimpoz kumkaza Lisa ni ndoto za ally nacha...yule demu ni tawi la juu sana ndugu yangu
Ntakubaliana na uzushi wote unaoleta huku...ila la omy dimpoz kumkaza Lisa ni ndoto za ally nacha...yule demu ni tawi la juu sana ndugu yangu
Kwahiyo hata Basha wako anamjua!
Kichupa kimesimama bab siyo kama vile vichupa vya A.Y anavyotumia nguvu nyingi kuvipromote halafu mwisho wa siku kichupa full giza kama film za vichekesho star tvKama ni level za Hype Williams basi 'salute' kwa jombaa...
Mkuu, ommy dimpoz ndio nani? Tujuze nasi tumfahamu,,ili twende sawa!
kiukweli yule mdada ni mrembo nahisi hata hao waliokuwa wanachukua shooting walifanya kazi ya ziada mana dada ni mremboooooooo.