ommy dimpoz kuleta stress!

Nataka kujiweka kwa yule mdada!vipi ntaosha au ntajichoresha?nataka niuze nae sana nyago mjini!...

Muuza Sura hapo tu ndo unaponiacha hoi...hizo ni level za kina dj cleo....sidhani hata kama una uwezo wa kumn'goa jini kabula
 
Last edited by a moderator:

dah kwa hilo mimi sijui mana sijui physical appearance yako...............
 
hata mimi nimekiona aisee ni balaa hizo location na hizo shots usipime, kuna sehemu jamaa ana mtoto wanatoka kwenye mjengo flani kama hotel wako kwenye ngazi daah balaa tupu, adam anajua sana. Kuna sehem ommy kakaa kwenye chumba flan mwanzo kabisa la song kanikumbusha wimbo wa neyo wa do you... Kuna location wana bonge la gari wako kwenye parking ya magari we acha video ni noma yani visual ni next level
 
Muuza Sura hapo tu ndo unaponiacha hoi...hizo ni level za kina dj cleo....sidhani hata kama una uwezo wa kumn'goa jini kabula
Ntake radhi wewe mimi kabula wa nini!hizo level za malocal kina mr nice,chuzi na bushoke!!!acha uoga huyo cleo mwenyewe anaweza kukaa kwangu!naamini yule ni cheap model kuliko unavyodhani na hata nikimng'oa yeye ndo hatoamini kama kang'olewa na na mimi!
 
Last edited by a moderator:
Ommy dimpoz kaleta unyama katika kichupa kweli watoto wa donta wabishi!dogo ana nyimbo mbili utasema ana nyimbo mia anavyojua kung'arisha jina lake mjini chini ya meneja wake kijana mdogo muba mzazi!!!!
 
Dah! mkuu mbona kama dizaini flani hiv unampiga promo?!! ........
 
Kichupa kimetulia....naona kijana kaamua kufanya kweli
 
Ntakubaliana na uzushi wote unaoleta huku...ila la omy dimpoz kumkaza Lisa ni ndoto za ally nacha...yule demu ni tawi la juu sana ndugu yangu

kwa kuwa lisa jensen ni malaika, au???????????????????????
mbona kuna mchizi wangu huku chuo anamega?
watu bwanaaaa!!!!!!!!!!
 
Mchane pimbi huyo ambaye analeta uoga!
 
Dah! mkuu mbona kama dizaini flani hiv unampiga promo?!! ........
Ommy simchengukii ila kichupa mimi mwenyewe mbishi ila kimenistua!!!unajua bongo bila unyama hutoki wewe mcheck mtu kama rich mavoko anajua ila hana unyama ndo maana hastui!
 
Mimi siku zote uwa napingana na wewe lakini kweli nimekubari kauli yako, kweli bongo bila unyama hustui. Mfano rich mavoko, belle 9 wanajua sana tu lakini ndiyo hivyo. Kauli yako ina point sana
 
Mia mzazi!!ila hupinganagi na mimi bali na kauli zangu!...watu hushindwa kusoma game ya bongo hao uliowataja ni mikosi ila siyo wanyama!mavoko na belle wazee wa njaa ila nyota zao hazijashine!
 
Ommy simchengukii ila kichupa mimi mwenyewe mbishi ila kimenistua!!!unajua bongo bila unyama hutoki wewe mcheck mtu kama rich mavoko anajua ila hana unyama ndo maana hastui!

Nimeiona mkuu dogo kapambhana kinoma!! ........we mkare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…