aise..Hawa wasanii wana maisha ya starehe sana mbona kila anayeumwa analalama hajapewa misaada,ina maana pesa zao huwa wanatunza kwa ajili ya kula bata tu?
Mi sioni sababau ya kuwachangia,kuna lile li dada sijui Diva sijui nani eti nalo hivi majuzi linalialia eti lichangiwe likabebe mimba,shuuubamiti kumamae!!
duh!acheni uhuni kwani ayo ya mombasa na omy wapi na wapi na wanasiasa wa tanzania?? mimi picha ninayopata ni kwamba wa sani ote wa bongo ni vilaza pesa za safari na holiday na kiki ndefu ikifikia wanaumwa wanataka misada .. kwa ni wew ao mimi tunapoumwa tunaimba misada wapi??
Mkuu hawa watu wanaojiita wasanii na mastaa wanakera sana basi tu......nisamehe mkuu kwa lugha kali ila mi wananiboa sana ikija kwenye ishu ya starehe utaona magari ya bei kubwa maisha mahotelini lkn kwenye afya zao sisi tuwachangieaise..
hilo nakubaliana na wewe. strictly business.Ifahamike tu kuwa hizo kampeni wanazoshiriki wasanii huwa ni mikataba sawa tu na mikataba mingine wanayofanya na promoters wengine na hakuna kipengele cha kulipina maisha yote.Ndo maana huwaoni Ukonga wala Monduli kwenye by elections.
Atakuwa alikuwa anapewa chake it was strictly business.halafu kweli. kuna wakati ommy alikuwa anapost sana mapicha na wamiliki wa gsm.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu punguza hasira najua amekukera sana.Hawa wasanii wana maisha ya starehe sana mbona kila anayeumwa analalama hajapewa misaada,ina maana pesa zao huwa wanatunza kwa ajili ya kula bata tu?
Mi sioni sababau ya kuwachangia,kuna lile li dada sijui Diva sijui nani eti nalo hivi majuzi linalialia eti lichangiwe likabebe mimba,shuuubamiti kumamae!!
Ashukuriwe Maulana ndo muweza wa vyoteJoho anastahili kabisa kushukuriwa
Mwanzisha mada ana matatizo kichwani, kila kitu anawaza siasa. Joho ni rafiki wa Ali Kiba na Ommy Dimpoz. Urafiki wao hauhusiani na suala la siasa. Joho kaumuolea Ali Kiba mke na kasimamia shughuli mzima kuanzia Mombasa mpaka Dar. Vivyo hivyo kasimamia gharama za huyu Nyembo so sioni tatizo. Huyu Dimpoz kama anaweza kulipia gharama za kwenda Ibiza kula bata anashindwa vipi kujilipia gharama za matibabu mpaka uje kuwapa lawama wanasiasa wetu?
Na wewe unaamini Ommy ana hela ya kwenda kula bata Ibiza?karibu mjiniMwanzisha mada ana matatizo kichwani, kila kitu anawaza siasa. Joho ni rafiki wa Ali Kiba na Ommy Dimpoz. Urafiki wao hauhusiani na suala la siasa. Joho kaumuolea Ali Kiba mke na kasimamia shughuli mzima kuanzia Mombasa mpaka Dar. Vivyo hivyo kasimamia gharama za huyu Nyembo so sioni tatizo. Huyu Dimpoz kama anaweza kulipia gharama za kwenda Ibiza kula bata anashindwa vipi kujilipia gharama za matibabu mpaka uje kuwapa lawama wanasiasa wetu?
Na wewe unaamini Ommy ana hela ya kwenda kula bata Ibiza?karibu mjini