Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C alitaka kikck, domo naye soon tutaanika mambo yakekweli kajamaa kamefanikiwa
Binamu nasubiria ubuyu wake kwa hamu ni umumunyeC alitaka kikck, domo naye soon tutaanika mambo yake
C alitaka kikck, domo naye soon tutaanika mambo yake
Kuna wanaosubiria huo uongo kwa hamuKuanika au kutunga uongo juu yake?
Haya tumeona... Maana naona kila sehem upo [emoji12]
Tuzo za wapi hizi..mnachonga tuzo
Mimi nina mashaka Kibakuli anawapumulia wenzake. Wake jamaa wa Kenya ni washkaj zake na kamchezo hako wanakapenda. Sasa huyu naye ni swahiba wake.mwanaume kamili hupaswi hata kutuhumiwa kua unapumuliwa
Jambo jema hawa jamaa wote ni Waislam[emoji23][emoji23][emoji23] Dmond angekuwa Muislam na hao wengine ni Mafarisayo .....hali ingekuwa tata sana
Hapana mkuu hiyo ni nyota bado inang'aa... mtu yupo nyumbani amelala ila anapewa tuzo ukipendwa unafanya unavyotakaTuzo za wapi hizi..mnachonga tuzo