Ommy Dimpoz leo umepata posts nyingi

Achoki

Senior Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
151
Reaction score
60
ukiingia celebrity forum unakutana na nyuzi zako tu.. kama kiki umepata broo
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-23-17-13-21.png
    30.6 KB · Views: 48
Nani alisema Ommy Dimpoz hana demu?

 
mwanaume kamili hupaswi hata kutuhumiwa kua unapumuliwa
 
mwanaume kamili hupaswi hata kutuhumiwa kua unapumuliwa
Mimi nina mashaka Kibakuli anawapumulia wenzake. Wake jamaa wa Kenya ni washkaj zake na kamchezo hako wanakapenda. Sasa huyu naye ni swahiba wake.
 
Jamaa ni mchicha mwiba [HASHTAG]#Kunywamajimwanangu[/HASHTAG]
 
Jambo jema hawa jamaa wote ni Waislam[emoji23][emoji23][emoji23] Dmond angekuwa Muislam na hao wengine ni Mafarisayo .....hali ingekuwa tata sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…