mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika
Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,
Rejea hapa [emoji116]
Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.
Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app