Ommy Dimpoz muombe msamaha baba yako mapema

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka

Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika

Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,

Rejea hapa [emoji116]

Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.


Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa timu mmeanza mambo yenu ya kubomoa badala ya kujenga
 
Usidanganye watu. Mimi nilimchukia mzee wangu na katangulia tayari

Kuumwa au kufa ni kitu cha kawaida kwa vitu vilivyo hai
 
 
Usidanganye watu. Mimi nilimchukia mzee wangu na katangulia tayari

Kuumwa au kufa ni kitu cha kawaida kwa vitu vilivyo hai
Culture ya watu ambao tuna waiga kwenye kila kitu na wana maendeleo makubwa!
WANAAMINI NI MBAYA SANA KWA MZAZI KUSAIDIWA NA MTOTO WAKE ALIYEMZAA UNLESS HUYO MZAZI AWE DISABLE!
Jaribuni ku google kupata ukweli zaidi!
TUJIFUNZE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…