Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

Unamaansha nn kunywa vidonge mkuu nani kauungua hapo

Mkuu acha kutumia kondo..m halafu anza kubadilisha totoz kama wanavyobadilishana hawa wabongo flava na wagongaji movie..mwisho utavijua tu vidonge ninavyomaanisha...
 
Mkuu acha kutumia kondo..m halafu anza kubadilisha totoz kama wanavyobadilishana hawa wabongo flava na wagongaji movie..mwisho utavijua tu vidonge ninavyomaanisha...

Nilidhan labda kuna mmojawapo kaungua
 
Si alikuwa semiu ws milrad ayu huyu mpade!
Kweli makahaba wenye vuwango wapo bomgo mivoe.
 
Ama kweli kila shetani ana mbuyu wake. Sasa Vanesa ana uzuri gani? Yale makalio yaliyolegea kama soksi?

One mans meat is another mans poison....note that
 
Jux ndo anapiga huyu mtoto wala sio Dimpoz.
Mdee kwenye Picha ni mkali kweli ili ukikaona Kama kanakuwa kabovu hivi.
Ova

Inamaana mtu wa nguvu kazidiwa nguvu????
 
Attachments

  • 1411396320602.jpg
    23.8 KB · Views: 590
Ama kweli kila shetani ana mbuyu wake. Sasa Vanesa ana uzuri gani? Yale makalio yaliyolegea kama soksi?

Duh sasa naanza kuamini WANAWAKE hawapendani, tuwekee ya kwako tufananishe na kuthaminisha.
 
jamani mbona umarefusha midomo kama wazaramo, kwa evidence ipi iliyo specific kujustify muyanenayo, mbona pichani ni chemistry tu ya kawaida stegini??? acheni hizoooo
 
Well said, mbona ni demu wa kawaida sana tu, tena mi naona kapata zali kutoka na Dimples.
 
Duh sasa naanza kuamini WANAWAKE hawapendani, tuwekee ya kwako tufananishe na kuthaminisha.

Ila kaongea kweli......vanessa ana sura mbaya na shepu hana...
Binafsi labda mademu wote wawe taken ndo naeza kua na dem wa dizaini ile
 
Lakini kuna mtu hali halali

Mmh kweli mana wanasema ukisema wanini...wenzako wanawaza.......

Ila ukweli ni kua ana sura mbaya...pata picha angekua anatokea familia maskini hivi angekuaje mana pamoja na make up lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…