Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

mwache ajilie si mnakumbuka Vanesa ndio kampokea Dimpoz lile roba wakati anaingia mjini? Basi hapo analipa fadhila
 
P didy muandiko wake haubadiliki hata awe na I'd kumi



Hahaaaa....Mkuu Jamaa anaandika utafikiri bata anaharisha aisee hapo anatumia keyboard muandiko mbaya sijui mkono inakuwa vipi aiseeees
 
Si alikuwa semiu ws milrad ayu huyu mpade!
Kweli makahaba wenye vuwango wapo bomgo mivoe.


Hahahahaaaaa mkuu hivi unachokiandika unakijua kweli au unafanya kusudi tu hili tujue pdidy amerudi kivingine
 
Si alikuwa semiu ws milrad ayu huyu mpade!
Kweli makahaba wenye vuwango wapo bomgo mivoe.


Hahahahaaaaa mkuu hivi unachokiandika unakijua kweli au unafanya kusudi tu hili tujue pdidy ame
 
Tena wengi.....yaani watu hawajui kuMantain status zao kabisa.Kabla yakufanya huo ushenzi wanatakiwa wajue jamii imewa Rank vipi lakin wao wapiiiiii.

Shaur zao......yaani ni kher usikie anatoka na Ben pol kuliko huyo mlamba lips

Kweli kabisa aisee way out of their league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…