God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Bahati aiombwi, ni vule Mungu anamtunuku binadam. Mbona wengi tu hawaimbi matusi na hawabahatiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ommy dimpoz bado sana kumfikia Kiba...Nyimbo ya Alikiba ya Mshumaa Jamaa amechezea sana Kitu kinaitwa Fasihi...kwa 90% hila kuhusu kata Dimpozi kaimba sana bila creativity / Nadhani Alikiba Ataendelea kukaa Juu wala sio kwa bahati Bali uwezo wake wautungaji Mashahiri.
Ali Kiba ana bahati tu ya kupendwa lakini hana anachofanya zaidi ya kuuza sura.....angalia trends za muziki kwa sasa then upime
Ommy Dimpoz pia hana ngoma inayoizidi Kadogo na Mshumaa ambazo ndo za mwisho mwisho za alikiba.. Alikiba kukaa kimya sio kuzidiwa uwezo na Ommy DimpozKata ni ushuzi kwako na hiyo haizuii ngoma ya mtu kupendwa lakini hiyo ngoma imefanya vizuri hit song ya mwisho ya alikiba ni seduce me baada ya hapo Hana hit song alafu pia uwe unaelewa comment before unacomment situzungumzia right now on my dimpoz anafanya vizuri kuliko kiba
Hivi sasa mshumaa unadumu au hana nyimbo nyingine. Hakika inashangaza yaani msanii mwenye miaka 15 ktk gemu kuzidiwa total views hata na huyu mtoto Aslay? Ubora wa kitu haujifichi jamani. Mnamtesa mwenzetu kumvika majukumu makubwa nje na uwezo wake.Alikiba anatoaga Nyimbo Moja inadumu mwaka 1 iyo ndo kanuni
Alafu nyie mnapenda aimbe matusi.
Ukisikia shabiki wamziki mzurii ndio wewe mkuuHuyo dimpoz mwemyew ukimuuliza kati yake na kiba nan yuko vzuri atakuambia...
Acheni stry za kahawa, ifike kipindi muwape wa2 heshima zao sio mpk wafe... ku mantain kufanya mziki kwa miaka zaidi ya 15 sio kazi rahs.
Tz hii wakumfikia kiba ni wachache sana... na mziki umegawanyika sehemu nyingi sio kila mziki uwe na vibes kama za platnumz yan za kuchezeka..
Mbn akina ben pol na jux hamsemi waimbe nyimbo kama *kata*!
Kila mtu ana radha yake... mimi binafsi nikitaka nyimbo za kuchezeka nitamskiliza platnumz, pia nikitaka nyimbo za hisia, za kufunza na pia kuchezeka basi nitaenda kwa kiba.
Muzik ni mood, na hakuna anaefanya aina zote za mziki hvyo basi kila m2 mzuri sehemu yake.... siku ukijua hili utaacha ku generalise aina za mzki na kushindanisha wanamzk kipuuz
...
Na kama kwel unaupenda mziki bas... lazm uwe hvyo,
Diamond nyimbo nyingi kamzd wizkid viewers, je mond ni mwanamzk bora zaid ya wizkid?Hivi sasa mshumaa unadumu au hana nyimbo nyingine. Hakika inashangaza yaani msanii mwenye miaka 15 ktk gemu kuzidiwa total views hata na huyu mtoto Aslay? Ubora wa kitu haujifichi jamani. Mnamtesa mwenzetu kumvika majukumu makubwa nje na uwezo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimetumia mifano ya watu walioko katika mazingira yanayofanana. Mziki unabebwa na uchumi na media zenye nguvu. Huenda Diamond angeishi Nigeria amekuwa mwanamuziki bora zaidi ya Wizkidayo. Unaona wasanii wa Maerikani wanavyovuma si kipaji tu media zinawabeba.Diamond nyimbo nyingi kamzd wizkid viewers, je mond ni mwanamzk bora zaid ya wizkid?
Wimbo wa 2 face~ afrcan queen una viewers 12mil na baba lao wa platnumz una viewers 15 mil...
Sasa swali kati ya afrcan queen na baba lao upi mziki mzuri?
...
Haya bhn..Mimi nimetumia mifano ya watu walioko katika mazingira yanayofanana. Mziki unabebwa na uchumi na media zenye nguvu. Huenda Diamond angeishi Nigeria amekuwa mwanamuziki bora zaidi ya Wizkidayo. Unaona wasanii wa Maerikani wanavyovuma si kipaji tu media zinawabeba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha masikhara mshumaa ni hit song?
Kadogo na mshumaa zote hizo hazijafanya vizuri sokoniOmmy Dimpoz pia hana ngoma inayoizidi Kadogo na Mshumaa ambazo ndo za mwisho mwisho za alikiba.. Alikiba kukaa kimya sio kuzidiwa uwezo na Ommy Dimpoz
Kila mtu ana stratergy zake..