Ommy Dimpoz punguza kubana pua

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele.

Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa kweli, wanabebwa na beat tu!
 
ukimsikia anaimba LAIVU unaweza kutapika ..
 
mimihapauk

Hujawahi kuwasikia husein machozi na voice wonder wewe! Hawa jamaa hawabani ila wanagandamiza pua kabisa tena wanagandamiza kwa ngumi
 
Last edited by a moderator:
ukimsikia anaimba LAIVU unaweza kutapika ..

Kha!natamani kweli nimuone nitapike na mie...
Si alikua anaimba kwenye band hapo kabla lakini?
 
Nahisi ni upuuzi akiwa Live..jamaa ni pua na kujilegeza sauti...
sauti zero
 
Hujawahi kuwasikia husein machozi na voice wonder wewe! Hawa jamaa hawabani ila wanagandamiza pua kabisa tena wanagandamiza kwa ngumi

hahaha pia na yule jamaa anayejiita damian soul
 
Hujawahi kuwasikia husein machozi na voice wonder wewe! Hawa jamaa hawabani ila wanagandamiza pua kabisa tena wanagandamiza kwa ngumi

Hawa nikisikia nyimbo zao wananichefua ka nini nazima au nabadilisha station kabisa wanaume wazima kubana pua ina bore sijui nani aliwaambia wakiimba hivo wanatokelezea
 
mkuu ushaiskia sauti ya voice wonder? nakudediketia ngoma yake inaitwa "nimpende nani" afu unimpe mrejesho
 
mkuu ushaiskia sauti ya voice wonder? nakudediketia ngoma yake inaitwa "nimpende nani" afu unimpe mrejesho

Zama za voicr wonder kubana pua ilikua notmal lakin sio sikuhz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…