Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Ila akiumwa au akipata matatizo ndo tunatakiwa kumpangia c ndio? We nae nilikuq nakuheshimu kumbe hujielewi, pita hvi, nisiwaonee wivu qkinq domo wanafanya Kazi nimuonee huyo kahaba wa kike
Mim ntaendelea kukuheshimu shilawadu mwenzangu ila ukikosea kubali kurekebishwa poa mzee mwenzangu
 
Yaani hayo mambo ya kupangiana mpk matumizi yashachosha...anatafuta kwa Jasho lake...mwacheni ale..
 


Udaku special thanks for shout out, nilitaman nicomment kwa insta aaaah aaah, nakupenda mbea mwenzangu, miaka miaa
 
Mabwana zake ndio wanampa jeuri ana ela gani ya kula starehe zote hizo
 
Kusafiri sio raha jamani kukaa kwenye flight masaa 8 . Isitoshe mmanyema huyu ni mwanamuziki. Wabongo hata gari mtaita starehe wakati ni kitendea kazi
 
ahaaaa binadamu shida kweli ujue huwa sipendi kucommet lakin kwa ili ngoja niongee.
Wew ndo unamatatizo try to live ur life blood don't be bothere' by someone doing.
 
ahaaaa binadamu shida kweli ujue huwa sipendi kucommet lakin kwa ili ngoja niongee.
Wew ndo unamatatizo try to live ur life blood don't be bothere' by someone doing.
Kama wewe hupendi kufuatilia maisha yatu humu umefuata nn, binamu nae mbea mmmh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…