Ommy Dimpoz taabani akimbizwa Ujerumani

Kweli unasema hospital za nje hawasemi? Au unazungumzia nje ya wapi bosi! Kwa taarifa yako sehemu akama Ulaya au Marekani ni wawazi sana sana kwenye ugonjwa unaosumbua mgonjwa.
 
Kuzama chumvini....!
 
Huenda uzamaji wa chumvini ndo tatizo
 
Kama source nihaya magazeti ya shigongo basi itabidi ufuatilie kwa umakini inawezekana sio kweli
 
Duh ibabidi tuache kusafisha mtaro na choo
 
Wakati wewe unakula xmass na mwaka.mpya tukumbuke tu kijana wetu nyembo dhoofu lihali,yuko ujerumani kwa mujibu wa watu wake wa karibu
 
MMungu amsalimu salama...kuumwa ni kitu kingine...
 
Japo chanzo ni Yellow Papers ila inaonekana Omary Nyembo anaumwa kweli.
 
Kama ni kawaida basi Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi ila kama ni hayo wanayolalamikia wadau humu kwakweli sala hii fupi sidhani kama inatosha maana sala itapaswa aanze mwenyewe kwanza kwa toba kabla sisi Mungu hajatusikiliza sisi wengine huku.
 
Hiv hata kulamba koni nalo laweza kuleta kansa ya koo?😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…