Ommy Dimpoz: Tafuta hela ndo utajua kama wewe ni Handsome au Beautiful

Ommy Dimpoz: Tafuta hela ndo utajua kama wewe ni Handsome au Beautiful

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Ommy diompoz amewataka vijana wa kiume na wakike tutafuta pesa alafu ndo utajua muonekano wako halisi, amejitolea mfano yeye mwenyewe kwa kutupia picha hii
1460366550265.jpg
 
money cash mshiko fedha ukiwa nazo hutojuwa nini maana ya shida..........
 
Mwanaume kijiita Dimpoz inatia shaka kidogo.
 
Weka na ya shilole before and after yake huwa naipenda,ckuiz anawakaa si mchezo
 
Kumbe hivyo enh?! Na ukishakuwa na mkwanja; who cares how you look like?!
 
Naona hapo ndo anaingia mjini daslinga.kweli ukienda dar mtu unabadilika sana
 
Mwanaume kijiita Dimpoz inatia shaka kidogo.


Huyu yanki ni mtu wa mashaka siku zote. Laiti ningejuwa anaishi wapi, ningechunguza kuta za chumbani kwake kutafuta alama za mikono/vidole.
 
Back
Top Bottom