Uchawi sio mpaka uruke usiku!!! Mungu baba anahitaji bado uendelee kuishi omy. kumuona omy anarudi kwenye sanaa na kuimba tena ni faraja ya kila mtanzania.
NYIMBO ZIPO NYINGI SANA BONGO HADI NG'AMBO WANAOSHIRIKISHWA KWENYE AUDIO NA HAWATOKEI KWENYE VIDEO KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI, IKIWA NI PAMOJA NA SUALA LA MUDA N.K
Aliye kwambia alikuwa anaumwa kansa ya koo nani wewe, usipende kuongea vitu usivyo kuwa na uhakika navyo na wimbo wake mpya alio utoa kiujumla ni mzuri sana tu,