Ommy Dimpoz, video yako vichupi vimezidi

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Kama umeiangalia hii video mpya ya huyu jamaa utakubaliana na Mimi.Hii video wadada wanacheza huku wamevaa vichupi Haifai kuangalia ukiwa either na wazee au watoto..
 
Ebu iweka hapa mkuu tuone vyupi 😄
 
Vyupi vimezidi kiasi cha kutoweza kuonyeshwa kwenye tv station zetu ???????
 
Hata sijaelewa anachoimba na ninachokiona... kama ndo ujio wake huu basi kaisha
 
mshikaji kapanic hawa watu bwana kama wanashindana na mtu vile nae kawa overrated nn? haifai kuangalia BASATA fanyeni kazi yenu
 
Sijaona umuhimu wa kumtaja diamond kwenye mistari alafu kama inafanana na shikorobo ya shetta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…