Ommy Dimpoz vs Dully Sykes

Wote wabana pua. Tofauti mmoja Legendary mwingine yupo kwenye pick yake.
 
Hii haiko sawa kabisa Mkubwa, ukitaja bongo flava lazima utamtaja Dully katika 5 bora. Huyo Ommy nadhani nafahamu ngoma zake si zaidi ya 3.
 
Kwanza kumfananisha na huyo jamaa tu, ni kumkosea adabu Dully kisanaa.
 
Dully anaweza kushndanishwa na akina Kingunge(TID) sio hawa watoto wa juzi..
 
Hivi unaujua mziki wa bongo au ndio nyie wa kuzaliwa miaka ya 2000????Hapo ni sawa unamfananisha The late Michael Jackson na Chris Brown.

Kua na heshima next time bwana mdogo
 
Dully ni king wa bongo flavour. Muasisi wa nyimbo za mwanasesere
 
dully akuna kama yeye.enzi hi.salome.baby candy.historia ya kweli.nyie acheni hiyyo.kitu.kweli jamaa atakua amezaliwa 2000.aitambu.sawa umfananishe ROMA &PR. JAY WA MITULINGA A.K.A.....NIGER JAY.HAPA KUNA FANANI ....Mtu ana rap mpaka mwili unasisimka.SONGS...KIKAO CHA DHARULA...1 - 2.CHEMSHQ BONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…