Ommy Dimpozi amfunika Diamond

njoo ulete na za kwako ambazo ni original au reliable, pengine YouTube server nayo ni team chibu, so huwenda imemfavour!
 
Wakuu hebu tuwe wa kweli Dimpoz (whatever that means) nyimbo zote Lazima apotoshe kiswahili tatizo Lake nini. R kwenye L na L kwenye R. Achana nae. Listen to Wanjera such a stupid song sijui km kaiba au La??? Machinery ya bongo music Ina churn out bogus heroes haina kingine
 
Nae Domoimondi na ukimuwona yake is fake. Km unaona mm muongo sikiliza nyimbo zake kwa utulivu utaona how cheap those sounds r. Christian Bela remix ya ukimuwona inakuonyesha how professionalism works. He took a stupid song and made it a masterpiece.
 
mkuu hizo data feki

chuki kwa mwanaume mwenzako haitakusaidia. Tafuta na ww mpunga sio unashinda humu kumfungulia nyuzi za kumdisi platnumz. Mwenzako anapiga hatua kila siku.

Tafakari...... chukua hatua..
 
Tunamsubiri OMMY DIMPOZ wiki hii atupe burudani tarehe nne huku ugenini.
 
ule mswada ukipita habari kama hizi ni jela miezi sita
 
Dimpoz bado sana kwa mh diamond .anatafuta umaarufu kuptia makombo ya diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…