Ommy Dimpozi apiga picha na Cristiano Ronaldo

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Hatunywi maji sasa. Hii itatundikwa kila mahali. Hadi kwenye mashairi

20220823_194316.jpg
 
Sio Ronaldo tu
Nimeona kapiga na kina Sancho,Fred na wengine

Kiufupi hata ningekuwa mimi nimepiga picha na hao watu ningetuma picha hadi kwenye group la ukoo

Na kila picha ningetengenezea fremu yake
 
Jamaa anamishe gani wakuu ingia kwenye Acc yake IG jamaa ni full bata sa najiuliza kwa mziki upi na kutanua kote kule?
Huy kijana haijajulikana Mara moja kuwa Nani anamfadhili safar zake hzi za kwenda uko ngambo na Dubai Mara kwa Mara naonaga Ana ukaribu Sana na gsm

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom