Omog abaki huko huko kanda ya Ziwa

Omog abaki huko huko kanda ya Ziwa

Matungiza

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
523
Reaction score
335
Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.

Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
 
Wacha kukurupuka mkuu, Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira ulivyoo au umedandia tu. hakuna duniani timu ambayo matokeo lazima yawe ya ushindi tu, angalia Hata Real Madrid ni machampion wa kihistoria wa Europe, lakini bado wameanza ligi kwa kususua, Ila usishangae mwisho wa msimu ndiyo mabingwa. Hivyo nakusihi Wacha unazi usio na faida. By the way ni kitu gani umechangia kwenye timu Hata uwe na haki ya kudai ushindi kila mara. Mo mwenyewe Kayla PESA ya usajili, Analipa mishahara na posho za wachezaji na benchi la ufundi, lakini hapigi kelele, itakuwa wewe kapuku, eti shabiki, nyie ndiyo mnarudisha maendeleo ya soka letu nyuma na shabiki wenu wa miaka ya 45
 
Mmeanza nyinyi pooltable fc ....pambaneni na hali zenu kocha anawafaa sana huyo
 
Tuliwaambia mkianza kutoka mtaonja shubiri ya mikoani mkajinasibu mnakikosi cha 1b
 
Bado muda unahitajika kwa kocha ingawa kuna makosa machache anayafanya lakini tumpe muda.
 
acheni ujinga tulioko mwanza kwanza tunaona hiyo droo ni ushindi..mbao ni wachawi mno hata kama huku kuna wazungu wasiomini na uchawi wao huwa unaongezwa dose wakicheza na simba na yanga...siku moja kabla ya mechi walilala kisiwa cha ukerewe na ndo walipotokea kuja kirumba,na kama sio simba kubadili njia na kutumia long route kufika uwanjani wangefungwa jana,wajinga waliloga hadi njia,nawahakikishia kanda ya ziwa haswa ukerewe kuna uchawi mkubwa mno naomba taifa stars wawe wanaenda kule kupikwa kwa kweli
 
Mmeanza nyinyi pooltable fc ....pambaneni na hali zenu kocha anawafaa sana huyo
Wewe mkuu hujatulia, hili la simba linaitwa maji kupwa maji kujaa au matatizzo yanayomkuta tahahira wkt wa mwezi mchanga
 
Wacha kukurupuka mkuu, Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira ulivyoo au umedandia tu. hakuna duniani timu ambayo matokeo lazima yawe ya ushindi tu, angalia Hata Real Madrid ni machampion wa kihistoria wa Europe, lakini bado wameanza ligi kwa kususua, Ila usishangae mwisho wa msimu ndiyo mabingwa. Hivyo nakusihi Wacha unazi usio na faida. By the way ni kitu gani umechangia kwenye timu Hata uwe na haki ya kudai ushindi kila mara. Mo mwenyewe Kayla PESA ya usajili, Analipa mishahara na posho za wachezaji na benchi la ufundi, lakini hapigi kelele, itakuwa wewe kapuku, eti shabiki, nyie ndiyo mnarudisha maendeleo ya soka letu nyuma na shabiki wenu wa miaka ya 45
Facts kabisa mkuu
 
Sijaona makosa ya kocha,Manula alijisahau na kutoka golini. Ni hali tu ya kawaida.
 
Bado muda unahitajika kwa kocha ingawa kuna makosa machache anayafanya lakini tumpe muda.
Tumpe muda hadi lini ?
Toka aje amefanya nini ?
Azamu walimtimua kwa nini ?
Ataijaribu timu hadi lini ?
Kwani anawapa nini ?
Mtampigia debe hadi lini

Anaondoka lini ?
 
Tumpe muda hadi lini ?
Toka aje amefanya nini ?
Azamu walimtimua kwa nini ?
Ataijaribu timu hadi lini ?
Kwani anawapa nini ?
Mtampigia debe hadi lini

Anaondoka lini ?

Matokeo hayo ni ya kawaida. Shabalala bado hajarudi kwenye fitness. Magoli 2 yamepita upande ule. Coach yuko kwenye pressure kupanga baadhi ya wachezaji. Jingine ingawa hatupendi kulaumu, Kidogo Manula alijisahau au alipoteza concentration kwa magoli 1 au yote mawili.

Huduma ya kisaikolojia inahitajika sana, kwa mfano hata kubadilisha wachezaji. Baadhi ya mechi kama hizi za akina mbao n.k kuna aina ya wachezaji wanaoziweza. Mo Ibrahim, Kazimoto, Ndemla et.c.. Kuna mechi zinataka wa bongo wa kutosha kwani kuna ghadhabu zingine huwezi kupandikiza kwa wachezaji wa kigeni. Kwa mfano: Benchi la ufundi Simba lilikuwa linaelewa maana ya substitution za mbao? sitaki kuzungumzia mapungufu ya referee. Message kwa Simba ni kwamba, ligi ya VPL ni kama pori. Kwa Simba, wasichukulie mazoea, hii ni vita!..amkeni.
Alafu kanusheni! ni kweli usajili ni wa bilioni 1.3? nothing wrong about that, lakini siyo sahihi ni lugha inaonekana ya mzaha lakini ina madhara makubwa kwa kufanya wana simba kweli waone kocha si lolote si chochote. Sahauni ya mbao, ongezeni intelijensia kwa timu zote za mechi zijazo mzifahamu. Kuwe na kamati ndogo tu ya ufundi special kwa ajili ya ku scrutinize timu za ligi na kutengeneza dawa zao. Hivi wachezaji wanapiga pasi haziwafikii walengwa ni kosa la nani?
 
Simba tulieni, Mbona sisi Yanga tupo tumetulia japo mambo yetu ni MAGUMU?
Hawawezi kutulia mkuu maana wameaminishwa na msemaji wao kuwa wanakikosi cha bilion 1.3 ambacho ni kipana kila mechi magoli si chini ya 5
 
Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.

Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
Acha kelele, hujui lolote tuachie timu yetu. Siri ya mtungi.......
 
acheni ujinga tulioko mwanza kwanza tunaona hiyo droo ni ushindi..mbao ni wachawi mno hata kama huku kuna wazungu wasiomini na uchawi wao huwa unaongezwa dose wakicheza na simba na yanga...siku moja kabla ya mechi walilala kisiwa cha ukerewe na ndo walipotokea kuja kirumba,na kama sio simba kubadili njia na kutumia long route kufika uwanjani wangefungwa jana,wajinga waliloga hadi njia,nawahakikishia kanda ya ziwa haswa ukerewe kuna uchawi mkubwa mno naomba taifa stars wawe wanaenda kule kupikwa kwa kweli
Hata uwanja ulipulizwa moshi wa mbeba chungu ili Okwiiii asione goli.
 
Back
Top Bottom