Wacha kukurupuka mkuu, Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira ulivyoo au umedandia tu. hakuna duniani timu ambayo matokeo lazima yawe ya ushindi tu, angalia Hata Real Madrid ni machampion wa kihistoria wa Europe, lakini bado wameanza ligi kwa kususua, Ila usishangae mwisho wa msimu ndiyo mabingwa. Hivyo nakusihi Wacha unazi usio na faida. By the way ni kitu gani umechangia kwenye timu Hata uwe na haki ya kudai ushindi kila mara. Mo mwenyewe Kayla PESA ya usajili, Analipa mishahara na posho za wachezaji na benchi la ufundi, lakini hapigi kelele, itakuwa wewe kapuku, eti shabiki, nyie ndiyo mnarudisha maendeleo ya soka letu nyuma na shabiki wenu wa miaka ya 45Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.
Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
Tuliwaambia mkianza kutoka mtaonja shubiri ya mikoani mkajinasibu mnakikosi cha 1bHaji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.
Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
2:2Kwani matokeo ya leo vipi? Simba kakung"utwa?
Wewe mkuu hujatulia, hili la simba linaitwa maji kupwa maji kujaa au matatizzo yanayomkuta tahahira wkt wa mwezi mchangaMmeanza nyinyi pooltable fc ....pambaneni na hali zenu kocha anawafaa sana huyo
Facts kabisa mkuuWacha kukurupuka mkuu, Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira ulivyoo au umedandia tu. hakuna duniani timu ambayo matokeo lazima yawe ya ushindi tu, angalia Hata Real Madrid ni machampion wa kihistoria wa Europe, lakini bado wameanza ligi kwa kususua, Ila usishangae mwisho wa msimu ndiyo mabingwa. Hivyo nakusihi Wacha unazi usio na faida. By the way ni kitu gani umechangia kwenye timu Hata uwe na haki ya kudai ushindi kila mara. Mo mwenyewe Kayla PESA ya usajili, Analipa mishahara na posho za wachezaji na benchi la ufundi, lakini hapigi kelele, itakuwa wewe kapuku, eti shabiki, nyie ndiyo mnarudisha maendeleo ya soka letu nyuma na shabiki wenu wa miaka ya 45
Tumpe muda hadi lini ?Bado muda unahitajika kwa kocha ingawa kuna makosa machache anayafanya lakini tumpe muda.
Tumpe muda hadi lini ?
Toka aje amefanya nini ?
Azamu walimtimua kwa nini ?
Ataijaribu timu hadi lini ?
Kwani anawapa nini ?
Mtampigia debe hadi lini
Anaondoka lini ?
Hawawezi kutulia mkuu maana wameaminishwa na msemaji wao kuwa wanakikosi cha bilion 1.3 ambacho ni kipana kila mechi magoli si chini ya 5Simba tulieni, Mbona sisi Yanga tupo tumetulia japo mambo yetu ni MAGUMU?
Acha kelele, hujui lolote tuachie timu yetu. Siri ya mtungi.......Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.
Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
Hata uwanja ulipulizwa moshi wa mbeba chungu ili Okwiiii asione goli.acheni ujinga tulioko mwanza kwanza tunaona hiyo droo ni ushindi..mbao ni wachawi mno hata kama huku kuna wazungu wasiomini na uchawi wao huwa unaongezwa dose wakicheza na simba na yanga...siku moja kabla ya mechi walilala kisiwa cha ukerewe na ndo walipotokea kuja kirumba,na kama sio simba kubadili njia na kutumia long route kufika uwanjani wangefungwa jana,wajinga waliloga hadi njia,nawahakikishia kanda ya ziwa haswa ukerewe kuna uchawi mkubwa mno naomba taifa stars wawe wanaenda kule kupikwa kwa kweli