mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Director wa video za muziki nchini Nigeria Omori @boy_director mwaka wazi kua kaka yake ameokoa maisha yake kwa kumpa figo moja, Omori kupitia uku rasa wake wa Instagram ameshiriki picha inayomuonesha akiwa hospitali kwa akili ya matibabu na kuandika “ Jana kaka yangu alinipatia figo yake ili kuokoa maisha yangu “. Omori ni miongoni mwa ma director wa kubwa wa video barani Afrika akiwa ametayarisha video za wasanii wakubwa barani Afrika kama Diamond platnumz , Asake, Wizkid pamoja na Olamide .