mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
wasanii wakubwa ni gani hao?Damn figo hiz daa sema kusema tg omori katengeneza video za wasanii wakubwa na kuwaacha akina burna boya asake na davido ni upumbavu
Diamond platinumzwasanii wakubwa ni gani hao?
Kwa Burna boy na Davido ni wasanii wadogo?
๐๐๐๐๐๐ฎโ๐จDiamond platinumz
Maisha ya social media ni mabaya sana. Mtu yuko radhi apigwe picha yu hali mahututi, ilimradi tu akipata nafuu apostDirector wa video za muziki nchini Nigeria Omori @boy_director mwaka wazi kua kaka yake ameokoa maisha yake kwa kumpa figo moja, Omori kupitia uku rasa wake wa Instagram ameshiriki picha inayomuonesha akiwa hospitali kwa akili ya matibabu na kuandika โ Jana kaka yangu alinipatia figo yake ili kuokoa maisha yangu โ. Omori ni miongoni mwa ma director wa kubwa wa video barani Afrika akiwa ametayarisha video za wasanii wakubwa barani Afrika kama Diamond platnumz , Asake, Wizkid pamoja na Olamide .View attachment 3081259View attachment 3081260
Vijana wanasema hawataki kwenda na figo nzima kama hela wanazozikeshea wanaenda nazo vile.Ndo wakome kunywa pombe kali. Mtu unapata hela nzuri badala ufocus na afya yako uishi kifalme ndo kwanza unaiharibu as if mwili wa binadamu una spare.