On air show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY IN THE HOUSE NIGGA

On air show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY IN THE HOUSE NIGGA

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu

Leo ni ijumaa wekend tulivu kabisa ambayo tuna enda kupiga show ya kufa mtu show ya nguvu ya kukata na shoka

Show hii itakuwa imekukusanyia matukio mbali mbali ambayo yamefanyika kuanzia week iliyopita na had leo

Naomba tuwe pamoja na host BEIRA BABY BOY

katika matukio yaliyo tingisha sana ni pamoja na matukio mbali mbali ambayo yalifanywa na watu na wasiojulikana

Jembe letu, kamanda letu alipigwa risasi na watu wasiojulikana na kuleta sintofahamu nchin ambako had sasa yuko nchin kenya kwa matibabu
tundu.jpeg


Vile watu wasiojulikana walimpiga risas tano jeneral mkuu mstafu wa jesh la wananch tanzania ambako had sasa amelazwa pale hospitaly lugalo

Baada ya matukio kuongezeka kila siku tuliweza kumuona askofu mkuu wa nchi gwajima akiwafokea maasikofu wenzake kuwa wanakaa kimiya wakati nchi si shwar hivyo aliwataka wapaze saut kwa kuieleza selikal ukweli bila kuogopa


Tukiachana na story za watu wasiojulikana vile vile week hii ilikuwa adimu kwetu baada ya kukaa mwaka mzima kama nchi tukiwa hatuna jaji mkuu ambako rais wa tanzania aliweza kuteua jaji na kumuapisha
8-150x150.jpeg


Vile vile ni week ambayo rais wa yanga wazee wa madawa ya kulevya tuliona bwana manji akiachiwa huru baada ya kusota rumande kwa zaid ya miez miwili
manji-7-1.jpeg


Tukiwa tunaendelea na show pata break kwa picha yetu ya week ya mrembo wema sepetu
Wema4.png


Katika burudan ni week ambayo mkali wa michano kutoka los angels LILY BIZY WIZY WAYNE JINA LA WAZAZ LIL WAYNE aliweza kudondoka kifafa akiwa hotelin akijiandaa kwa shows califonia kitu kilicho sababisha kushindwa kupiga show

Pia vile vile ilikuwa na week ambayo bidada beyonce aliweza mtuhumu mume wake jaya jayz kuwa ni msaliti wa ndoa anatoka nje ya ndo na wadada wengine
download-1.jpeg


Tukiwa bado tuko kwenye burudan tuliweza kumuona rapa kutoka tanzania chid benz akiahid kufanya collqbo na jaya jayz baada ya hapo awali kusema amefanya collabo na tupac


Vile vile tuliweza kuona wapendwa wawili hapo zaman wolper na hamonize wakilushiana maneno makal mtandaon na matus ya nguon
13259601_1314343238581519_206160940_n.jpeg



Vile vile ilikuwa week chungu sana kwa team domo diomond baada ya kuzidiwa view huko YouTube ambapo mnyama king kiba anatamba had leo
Alikiba-na-Diamond.jpeg


Ni week ambayo tumeweza kuona show kubwa kuliko ya tigo fiesta ikianza ambako ilianzia kule arusha na leo itakuwa pale musoma na jumapili itakuwa kule kahama mjini mkoa wa shinyanga

Vile hapo juz tuliweza kusikia kaul tata kutoka kwa MYWEATHER baafa ya kudai kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni upuuz maana ni kama huna tu

Vile katika michezo tuliweza kuona ligi kuu ikiendelea ambako mtibwa sugar wakiwa kilelen mwa lig wakifatiwa na MAMBUMBUBU FC amabayo yako nafas ya pili kwa point nne

Pia vile vile tuliweza kuona timu ya taifa stars ikushuka katika viwango vya fifa na kushika nafas ya 125 licha ya kuweza kumupiga bao 2 bila botswana

Kalibun sana kwenye hii show ya kibabe ya BEIRA BABY BOY NIGGA show hii itakuwa inafanyika kila week, kalibun sana kwa maon na wala sio kwa kejel changia chochote ili mambo yaende sawa bila shida sio mtu unakuja hapa unaanza kuuliza mbona hapa hujaweka koma mara ni habar sio habali, mambo hayo usilete hapa

Nakalibisha ushaul niongeze kitu gan na nipunguze kitu gan ili show yetu iweze kuwa poa zaid


LONDON BABY
 

Attachments

  • this-guy-just-knows-whats-hip-and-happening-picture-id488000165.jpeg
    this-guy-just-knows-whats-hip-and-happening-picture-id488000165.jpeg
    19.4 KB · Views: 56
  • lil-wayne-weezyana.jpeg
    lil-wayne-weezyana.jpeg
    33.2 KB · Views: 56
Pamoja sana mtu wangu nimeona nije na kitu kama hiki kwa kila week
Ni nzuri sana,nashauri tu kuwa ukienda Na habari Picha zaidi itanoga sana!

Kingine uiweke ktk mfumo Wa five hit news!
Pia iwepo segment ya vichekesho kidogo!
Kwa vile umelenga iwe weekly ni vyema ikaruka hewani jumapili zaidi kuliko ijumaa!
Regard
DJ sepetu.
 
Ni nzuri sana,nashauri tu kuwa ukienda Na habari Picha zaidi itanoga sana!

Kingine uiweke ktk mfumo Wa five hit news!
Pia iwepo segment ya vichekesho kidogo!
Kwa vile umelenga iwe weekly ni vyema ikaruka hewani jumapili zaidi kuliko ijumaa!
Regard
DJ sepetu.
Safi sana kiongoz wangu ushaul mzur sana huu hasa hapo kwenye vichekesho na show iwe kila siku jumapili kwa week
 
Back
Top Bottom