ON ATCL I see a cul-de-sac situation

ON ATCL I see a cul-de-sac situation

Ngaliwe

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
164
Reaction score
374
ON ATCL i see a cul-de-sac situation.

Baada ya the Famous long awaited CAG report na suggestions zake mpira unataka kurudi Bungeni deciding the Fate of our Beloved Wings of Kilimanjaro. Jambo la kujiuliza from Day-01 tulifufua hili Shirika; je tulikua na malengo yapi?

Tulitaka Derived Profit - ambazo ni benefits kama kuwa a multi sectoral catalyst au kuleta a sense of Pride au kuwa na operating national courier for simplicity in usafiri wa ndani na nje & aiding destination-tz with one-way flight muhimu kwa kujitangaza kitalii w/movement za biashara to n fro AU tuliwaZa a commercial Airline ambayo itafanya biashara na kupimwa kwa Accounting Profit kama alivokuja CAG kuisasambua.

Ila lastym i checked, JPm was never quoted anywhere saying amefufua shirika la ndege la ATCL ili lilete accounting profit.

Japokuwa ni kweli kuna siku niliona kama kina Matindi nao walitaka kumuimpress kwa kuja na Magawio well hizo ni siasa i can say,

ila frankly speaking: operating An airline tena kwenye Zama hizi za Covid pandemic hata magiant wakubwa DUNIANI kwenye hii Biashara commercially wamechemsha.

Tumeona kampuni nyingi hapa nchini tu kama SAA , akina Lufthansa, Emirates, Gulf, Qatar and other big airlines halting and grounding their Birds due to registering enormous losses and Covid Restrictions.

Hata kwenye normal biz environment operating a commercial airline is a huge challenge kama unabisha ask Fast Jet TZ Chairman au MD wake they will tell u over the past 4-5 yrs kabla hawaja wind up operations kwenye Anga letu walikua a loss generating airline.

Tuamue sasa Kureaffirm our Commitment na kwa kuanzia tujibu swali la kwanini tumefufua ATCL.

Na maamuzi hayo can be revisited kwa namna nyingi ila mm nimeona tuanze kwa kuangalia Choice ya ndege tumenunua.

Hizi Bombardia ni fuel economical ,zina ruhusu easy maintanance na handling but also ni affordable to run n operate internally.

Zinaweza tumika as a service airline na catalyst ya kuboost sector zingine kama utalii na kilimo by handling Cargo kama ya fresh products za samaki na maua au perishables kama horti culture prods for exports.

hizi Bombadia with some modifications zinaweza tumika hata for Fire Fighting, lastly zinaweza kulifanya shirika kuwa a Low Budget Airline ambapo hata Mkulima wa kawaida akaafford kupanda ndege Kama anavopanda Basi. Tukawa na Ndege Kubwa Moja au Mbili kimkakati kwenda masafa marefu hizi zikabakia kuwa feeder za ndani.

Kwa upande mwingine,

Ndege kama Airbus kidogo ni off-the-hook service wise; prefarable aina hii ya ndege ni special for commercial purposes tena ya masafa marefu sbbu ya new tech ambayo ni high end next generation ; handling yake ni ngumu matumizi yake ni makubwa hata kuoperate in terms of service wise route za Mwanza Dar kwakweli ni kukosa vision.

Sishauri sana going commercial wise SOLO kwa kuoperate wenyewe but we can opt for a partnership kwenye region yetu na watu kama RwandAir.

Nisingeshauri Kenya, sbbu ya conflict of interest: wao usidhani wataleta watalii KIA for serengeti au ngorongoro wakaacha Masaai Mara au wapeleke watalii ZNZ na sio Mombassa au Lamu watavutia kwao.

Uzuri wa Rwanda, Ecosystem zetu zinategemeana kwenye Utalii. We have the beach wao hawana, they have Kigali a very beutiful city they can do conference tourism and fly to MwanZa/KIA for Serengeti o Mt. Kili etc; it wont hurt anybody. Ila kwetu sisi itatuba joyride ya Mbia mwenye uzoefu, Fastjet angekuwepo ningeweza sema tungejaribu Ubia nae.

All in All, ATCL Is a necessary devil. Its how u choose to look at it na kujua unataka nn kwake. Accounting Profit au Derived Benefits. Ukishajua hayo u need to act right.

JPM katuachia urithi mzuri; tuuendeleze. Tusipofanya hivo hatutamkomoa yeye bali tutajikomoa sisi wenyewe.
 
Kila mtu hajui anataka nini, wapondaji hawajui, wapondwaji hawajui, marehemu kaenda na alichokuwa anakijua
 
Kila mtu hajui anataka nini, wapondaji hawajui, wapondwaji hawajui, marehemu kaenda na alichokuwa anakijua
Kwa kweli Marehemu kawaachia msala tu wenzake daah , mtoa mada recently amejitoa kabisa kumtetea Jiwe lakini hata yeye anashindwa kuelewa hzi ndege zitumikeje , yupo confused 😀
 
Back
Top Bottom