... hii inaleta ugali mezani au mbwembwe tu?
Mercedes' British F1 driver Lewis Hamilton poses with his medal after being appointed as a Knight Bachelor (Knighthood) for services to motorsports, by the Britain's Prince Charles, Prince of Wales, during a investiture ceremony at Windsor Castle in Windsor, west of London on December 15, 2021. - Lewis Hamilton received his knighthood on Wednesday as the British driver comes to terms with controversially losing the Formula One world title. (Photo by Andrew Matthews / POOL / AFP) (Photo by ANDREW MATTHEWS/POOL/AFP via Getty Images)ANDREW MATTHEWS
Sir yes sir- Full Metal Jacket... hii inaleta ugali mezani au mbwembwe tu?
... huyu ni mwingereza mweusi wa ngapi kupewa hiyo hadhi? Ingependeza zaidi kama wangefikia hadi hadhi ya prince au princess; ooh! Archie Harrison Mountbatten-Windsor kawakilisha japo uchotara mwingi (90% uzungu - bibi upande wa mama tu ndiye mweusi).Na mke wake atajulikana kama Lady Hamilton
Unajua Charles ndiye alihofia rangi ya Archie akizaliwa. Katika interview ya Meghan na Harry na Oprah aliyasema yote.... huyu ni mwingereza mweusi wa ngapi kupewa hiyo hadhi? Ingependeza zaidi kama wangefikia hadi hadhi ya prince au princess; ooh! Archie Harrison Mountbatten-Windsor kawakilisha japo uchotara mwingi (90% uzungu - bibi upande wa mama tu ndiye mweusi).
Duh! I can see the connection; mfalme mtarajiwa anajinasua na kashfa ya ubaguzi wa rangi!Unajua Charles ndiye alihofia rangi ya Archie akizaliwa. Katika interview ya Meghan na Harry na Oprah aliyasema yote.
Ninadhani Charles kumkabidhi hii medani Lewis ni mkakati wa kijisafisha kuwa yeye si mbahili.