Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
...aisee Mdada Kelly01 karibu nyumbani...ntakutafuta,kuna sehemu wanatengeneza 'chipsi chafu' na mishikaki ya uhakika kachumbari ya ukwaju....karibu sana nyumbani!!Kwa wale wana JF walioko TZ jamani tutafutane....nitakuwa TZ for a month vacation....
Wale wanaotaka mingle with Kelly01...ni PM with your phone number ila firts week nitakuwa with family and second nitakuwa camping Arusha....then baada ya hapo i will be available...I am craving for nyama choma kwa sana tuu!....
Hollaaaaaaaaaaaaaaaa!......
Dar here i come....yipeeeeeeeeeeee
Safari njema na karibu sana nyumbani Tanzania
...aisee Mdada Kelly01 karibu nyumbani...ntakutafuta,kuna sehemu wanatengeneza 'chipsi chafu' na mishikaki ya uhakika kachumbari ya ukwaju....karibu sana nyumbani!!
Shem ukifika nitafute nami nitakuwa huko 0754 777777
Kuna sehemu inaitwa jeshini maeneo ya Masaki wanachoma nyama nadhani dunia nzima lazima tukatie fujo pale!
shem usije ukawa unaongelea pale Jolie i think panaitwa......... karibu na kilima nyege
Una maana Jackie? hicho kilima ndo kwanza nakisikia...
dang i am too slow with names these days.....yes Jackies...
Shem usiache kumtafuta Maxence Melo nasikia anapenda sana kwenda viwanja, ila stay away from Shy yule hakawii kubadilisha somo!
Miye staki kwenda viwanja shemu nataka kwenda sehemu za kula tuu basi!...hahahaha huyo Shy achana naye na huyo Maxene mume wa ntu...sidhani kama ana hang out usiku....
Ila nataka kujua sehemu nzuri za kwenda ambazo zipo so classic na siyo gehtto......
...aisee Mdada Kelly01 karibu nyumbani...ntakutafuta,kuna sehemu wanatengeneza 'chipsi chafu' na mishikaki ya uhakika kachumbari ya ukwaju....karibu sana nyumbani!!