On my way to TZ!..

Karibu na kwetu zanzibar Kelly chakula gani cha tunu tukupikie ambacho kwa muda mrefu hujakila ?kama unapenda mikate ya kusukuma (chapati)basi utafanyiwa ambayo hutiwa (wekwa)hiliki ndani yake na kama mandazi utafanyiwa yenye hiliki vile vile tena yanakuwa laini kama vile pamba .yote hayo yanakuja na kuku wa kupaka,au tukufanyie biriani kwani pilau siku hizi kila mtu anapika kwa hiyo si tunu tena , umesha wahi kula kuku wa kupaka mwisho tutakupeka skupidaiva kama unajuwa kuogelea baharini .zaidi ni email Djfriday[EMAIL="Mlangowachuma@yahoo.com"]@hotmail.com[/EMAIL]
 
Kelly vp tena! Mbona ulisema kama vile utakuwepo maeneo au mi ndo nilielewa tofauti?
Umenigusa hapo uliposema utakuwa Ar! Poa nikutakie safari njema na mapumziko mema.
 
Mambo ya Kipemba hayo, njoo uonje uusikilizie utamu wake mwenyewe!
...ila sasa wale jamaa lugha zao...wanapochukua order ya mtu ni noma tupu!!nilikwenda na dada zangu pale ilikuwa kituko/vicheko....ndo bongo hiyo tena usanii kila kona.
 
kama utakwenda AR kwa basi,ikitokea mmesimama Mombo kwa bahati mbaya(siku hizi hawasimami) basi kibanda cha mwisho kulia kama unakwenda Ar ni changu,sema tarehe nitakuwekea tetere wa kubanika na pilipili mtama.
 
Mambo ya Kipemba hayo, njoo uonje uusikilizie utamu wake mwenyewe!

Hatukujuwa kiswahili maskuli (shule) tumezaliwa nacho hatujuwi lugha nyingine na kama tungekuwa nazo basi tungezienzi kama tunavyo kienzi kiswahili tafauti na makundi yale ambayo hawataki hata kusikia kutajwa lugha za koo zao how sad is that?
 
Miye staki kwenda viwanja shemu nataka kwenda sehemu za kula tuu basi!...hahahaha huyo Shy achana naye na huyo Maxene mume wa ntu...sidhani kama ana hang out usiku....
Inaelekea umekaa kaa kaa kukwiba waume za watu eeh?
Ila nataka kujua sehemu nzuri za kwenda ambazo zipo so classic na siyo gehtto......
watu wa majuu bana mikwara miingi.....una bei gani bibie?
 
Karibu home. kama unapendaga mishikaki niPM nikwambie sehemu wako nayo ya imataifa dar nzima hakuna!
 
On your way to AR please nishtue ukifika Moshi mjini!


Moshi wapi na wapi?

Ukifika A-town nambie, coz mi niko kwenye masuala ya camping

Safaris, count a free accomodation at ze camps, achana na watu

wa hizo nyama choma zilizochina kwa mawiki huko Dar! Na kama

ni mlaji wa nyama pori, basi hapa umefika!

PM me soon as possible!
 

PakaJimmy unatisha!
Unajua kuvutia watalii kama mkenya? Kwa kigezo cha nyama choma hapo umemaliza ushindani wote wa jamaa zetu wa kule Dar. Haya bwana, respect!
 
U wont see the different ukiwa dar na mtoni kwani viwanja vimejengwa kimtoni mtoni.Nenda tarime,Kigoma see the different.
 
Nitakupeleka kiwanja kimoja Kiti moto ya kuchoma na uhakika hujawahi onja wewe.
Karibu sana usisahau kubeba mitumba bongo nguo bei sana.
 


Usisahau kutembelea pale Ilala Barafaaa!!! Kuna kuku motomoto, chips vumbi, mbilimbi, chachandu, you name all!!! Nitumie namba yako kwenye PM just nikusalimie ukifika!!!!
 
Kuna sehemu inaitwa jeshini maeneo ya Masaki wanachoma nyama nadhani dunia nzima lazima tukatie fujo pale!

sasa hapa ni karibu kabisa na makutano ya chole road na haile-sellasie rd.huwa nalanchika hapo mara kibao.ni maeneo ziliko ofisi ninazofanyia kazi

karibu,
gonga hapa
+255774207300
 
Mkuu hii namba ya kwako au ya shori? Isije ikaleta bifu hapa.

hahahah!iyo yangu bana
we gonga hapo!utanipata

duh, mbele ya SHORIZZZZZ mpaka namba za simu zinatoka live!
teh teeeh ahaaaaa si mchezo, unapanga appointment pale kilima nyege kwa mbele (Jackies) unashangaa limetokea dume la mbegu unyoya umesimama miguuni kama miba ya nungunungu!
 
unapanga appointment pale kilima nyege kwa mbele (Jackies) unashangaa limetokea dume la mbegu unyoya umesimama miguuni kama miba ya nungunungu!

Hahahaha dah huyu mtoto inabidi atue kwanza kwa wazawa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…