On one occasion, in the dead of night, he purportedly appeared at Vice President Samia Suluhu's residence in pyjamas

Aliyempiga risasi TL kwenya makazi ya viongozi Dodoma ni nani?
Mimi sikuwepo na hakuna mtu aliyethibitisha kuwa aliona mtu anampiga Risasi. Ninachoweza kuthibitisha ni kuwa kweli TL alipigwa risasi, na nani, sijui
 
KISWAHILI

Katika tukio moja, usiku wa manane, inasemekana alionekana katika makazi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu akiwa amevaa mavazi ya kulala.


Wakati tuhuma zilipoibuka kwamba Magufuli alikuwa na historia ya unyanyasaji wa kijinsia na dhuluma dhidi ya mke wake, ilidhihirika wazi kuwa mtindo wake wa uongozi ulifanana na tabia zake binafsi. Tukio moja lenye kusikitisha zaidi lilihusisha mzozo kati yake na mke wake Janet katika Ikulu. Alipomshambulia kwa ukatili, inadaiwa kuwa Janet alipiga kichwa chake sakafuni na kupoteza fahamu. Tukio hilo lilimfanya Janet alazwe hospitalini, lakini vyombo vya habari vya ndani vilipatiwa picha zilizopangwa kwa uangalifu na Ikulu zikimuonyesha mume mwenye huruma akimtembelea mke wake mgonjwa hospitalini.


Tabia ya Magufuli ya kiimla ilimfanya asiweze kuvumilia ukosoaji. Wale waliothubutu kumpinga, kama kiongozi wa upinzani Tundu Lissu na mwanaharakati Ben Saanane, walikumbwa na madhara makubwa. Lissu alinusurika kwa taabu dhidi ya jaribio la mauaji aliposhambuliwa kwa risasi 36 kwenye gari lake katika eneo lililokuwa na ulinzi mkali huko Dodoma, mji mkuu, mnamo Septemba 2017. Na kwa kuuliza uhalali wa shahada ya uzamivu ya Magufuli, Saanane alitekwa kutoka barabarani mnamo Desemba 2016 na hakuwahi kuonekana tena. Vyanzo vya upinzani na serikali nilivyoongea navyo vinathibitisha kwamba alipelekwa Ikulu ambako rais, aliyekuwa akibeba bunduki kila wakati, alimfyatulia risasi kichwani. Mwili wake ulitupwa katika mto Rufiji. Kwa uchunguzi wake na kufichua mauaji ya kinyama yaliyohusiana na kampeni dhidi ya ugaidi kusini mwa Tanzania, Azory Gwanda...
 
Jiwe hachafuliwi alijichafua mwenyewe siku nyingi.Endelea kuimba SGR,Madaraja.Barabara lakini ukweli unabaki pale pale alikuwa mkatili,kichaa na mshenzi.
Wewe Mzee kumbe hamnazo,makamu analindwa na watu wa Mfumo,lakini pia Raisi analindwa na watu wa Mfumo muda wote,kwa Akili zako Kisoda unataka kuaminisha watu Magu alikwenda kumbaka makamu wake akiwa Uchi kweli?
Licha ya changamoto zake Magu hawezi akafanya mambo ya kitoto namna hiyo, kwenye ukweli uzungumzwe ila kwenye upumbavu wa namna hii tunaonekana watanzania uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana
 
I'm The State kabatini.
Now, In the Name of President.
Wakaamua pia wayajaze yalioumiza wapinzan ili kukomba nguvu zao zitumike katika kupush agenda na iende. ?
Duuh anyway kila mtu anavuna kile alihopanda.

Why Magu and not Mwinyi?
 
Wasukuma huwaambii chochote kuhusu jiwe.
Yaani Samia mwenyewe habishi lakini wasukuma ambao wako ushetu wanamtetea.
Kweli kuwa msukuma ni janga
 
With all due respect mkuu Kama huyaoni na huyasikii hata kwa wanywa gongo mitaani basi na wewe ni kipofu TU.
Mnasifia vitu ambavyo hamuvioni

.........Awamu iliyoleta uchawa na kuwatoa vijana akili..
 
Huyu mwandishi mjinga kwelikweli.Yaani rais aende na taulo na kifua wazi kutoka ikulu kwenda Kwa msaidizi wake zaidi ya km20.Huyu mwandishi itakuwa kaugua ugonjwa wa akili.
 
They must also tell us how they eliminated him, the story doesn't end on how he assassinated Ben and the attempt to assassinate Lissu, it must go beyond and tell us how they executed the killing of JPM. Some citizens are keen to know how it happened.
 
Well the goverment issue report stated he died of natural causes not assasination. So there will be no another open investigation about that
One thing i knows, he was warned multiple times even by his security details about his behaviour of ignoring health exparts advise
He didnt listen even thought he had underlying condition
 
Taarifa zinaonesha walianza kupanga mikakati ya kumuondoa tangu May 2020 au kabla ya hapo.

Wakasubiri uchaguzi upite ili kuepusha mtafaruku wa kikatiba.

Wangemuondoa kabla ya uchaguzi, samia angeshika madaraka mpaka October 2020, halafu angemalizia October 2025.

Kwa sababu samia ameshika madaraka katika ngwe ya pili ya utawala, atakuwa ana fursa ya kikatiba kuendelea mpaka October 2030 kama AKIPENDA.

Who knows what is to follow? Samia kuendelea, au atawekwa mwingine!!
 
Watanganyika yule bibi ni kiumbe hatari sana!
Ikifika 2030 utakuwa mwisho wa CCM kuumuza mgombea!
 
Ngoja tusubiri! Kama serikali kwa niaba ya Maza haitakanusha hizo tuhuma basi hizo allegations huenda zitakuwa za kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…