Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
tatiana.........aksante. Umenielewa vema kabisa.
I know......... Ila mji wenu ndio uliosababisha haya .......... ukienda sehemu moja siku imeisha!!My dear GOD..........hata siamini is it you my bro?? uwiii hapana mie sie wanifananisha loh!! Yes MArahaba nlikuwa nachat naye leo ah...... not fair at all kaka. But am glad lol...........jamani nammiss Dommy
nimekuelewa sana mamii,hebu watujuze nami nikatafute fasta fasta ili nipendwe zaidi.. Lol...
Anything that is not natural litasababisha ubatili at the end of the day............. hata kwenye michezo kama marathon n.k. ukigundulika umetumia dawa za kuongeza nguvu, ni disqualification. Huoni kuna uwiano hapo!Aksante PM.....sasa hili ndo mie naliita limbwata. how do you guys perceive this in your society if I may ask??
definitely sina ..............wala i dont believe on it but...on second thought.......... Ninasikia kuna wanaotoa tigo ili mpenzi asitoke nje si ndio?? Its not good (kama ni kweli) ....but they do that basing on their assumptions.........and some people approves.......why not limbwata?? The purposes are the same .... Arent they??
sijui wenzetu ndio wanaita "Low self esteem" ukiikosa hiyo unaweza fanya lolote ilimradi roho yako iridhike.kwahio unakubali kujidanya kwamba jamaa anakupenda kwa kutumia limbwata?
kwahio unakubali kujidanya kwamba jamaa anakupenda kwa kutumia limbwata?
wewe binafsi utajisikiaje kuona kwamba mpenzi wako ana kupenda kwa kutumia limbwata? Hivi unafikiri utakuwa na furaha kuona unapendwa kwa vile umemuekea limbwata? limbwata ni njia moja yapo ya kulazimisha mapenzi kitu ambacho suingi mkono,kama mnataka kupendana acheni njia za kawaida ziwafanye mpendane na muhimu zaidi ni mawasiliano.kuweni uhuru kukosoana inasaidia sana kulikoni kumuacha mpendwa wako aendelee na mambo au tabia zinazo kukera.
Limbwata lina mwisho wake pia.
jamani arsene ,nimeuliza cjasema kuwa nimetumia,soma vizuri post yangu.
sijui wenzetu ndio wanaita "low self esteem" ukiikosa hiyo unaweza fanya lolote ilimradi roho yako iridhike.
Mj1 unakubaliana nasi kwamba mtoaji wa limbwata ana hili tatizo?
lol najua umeuliza sijasema umetumia ndio maana nikauliza swali tu kutaka kujua jibu lako kwamba utakubali kujidanganya unapendwa kwa kupitia limbwata? Pole kwa kuweka swali vubaya.
if limbwata works, then lets use it to get bank loans
HIVI limbwata linawekwa sehemu isiyokuwa na mapenzi ya awali?? ......... on second thought mimi nikiwa na mpenzi ambaye nilimpenda tangu mwanzo na nikajua ananipenda kiasi cha kuniwekea limbwata (lisilo na madhara- kama lipo) I will be very happy........ Mbona vitu vingine mkifanyiwa in the name of love mnafurahia??
Sitachukulia kuwa ninampenda kwa ajili ya limbwata kwa sababu mwanzo nilimpenda tu ...nitachukulia kuwa ananipenda sana kiasi cha kutotaka kunipoteza...unless unambie unaamini katika mapenzi kuchuja kuwa yakishachuja basi uruhusiwe kuanza mbele.......... coz to me ningeelewa kuwa limbwata is for keeping the flame burning
Lina mwisho wake nakubali but that can be modified..............
Mie nadhani kumlimbwata mwenzio mara nyingi humpumbaza na matokeo yake wewe (mke) anaishia kum-control mme wakati na mara nyingi kumfanyia vitu ambavyo akiwa na akili timamu hatathubutu
kumfanyia. Kwa mtazamo wangu ni kama kumpatia mwenzio "dawa za kulevya" ...............labda
unipatie definition yako wewe ya kulimbwata..
MJ1, limbwata (kama lipo) ni kuyabaka mapenzi........
Input mbaya haitoi output njema asilani...