Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
1 .. We are facing a very serious FOOD SHORTAGE as a country, although the issue is still being politicised by POLITICIANS!
2 .. We are facing a very serious RAIN SHORTAGE,...
3 .. Number 1 depends on Number 2 and the Economy of our Country depends on both...
1 .. We are facing a very serious FOOD SHORTAGE as a country, although the issue is still being politicised by POLITICIANS!
2 .. We are facing a very serious RAIN SHORTAGE,...
3 .. Number 1 depends on Number 2 and the Economy of our Country depends on both...
A HUGE budget deficit....
Tumekuwa tukienda kwa mtindo huu miaka nenda rudi kwa mategemeo ya misaada toka nje kuziba pengo hilo, sasa hivi hiyo misaada imepungua kwa kiasi kikubwa. Sioni kama tumefanya jitihada zozote kubwa za kupunguza deficit hii....tunaendeleza matanuzi kama kawa!!
Hii ndio sababu nimesikia juzi serikali ikijaribu kuwakumbusha wahisani kutimiza ahadi zao? Mbona basi hali inaweza kuwa ngumu sana.
Sasa rais alipoagiza kutoa chakula kutoka NGR na kukiingiza sokoni itakuwaje huko mbeleni? si kuna uwezekano mkubwa sana wa ulanguzi kurudi kwa kasi mpya? Maana tumeshaona dalili za hoarding lakini tukaambiw ani sehemu ya biashara..
Tunawakumbusha wahisani kuhusu pledges zao lakini sisi wenyewe tunafanya jitihada gani kupunguza hii deficit?
Kikubwa kuliko yote ni kukosa vipaumbele kama Taifa. Haiwezekani tukawa na inflation inayokuwa driven na food price na kama nchi hatuna jitihada za kukabiliana na hilo.......Haiwezekani nchi ikawa inajua miundombinu (bandari, barabara muhimu mfano Rukwa kwa ajili ya food supply, barabara ya Mtwara -IR etc) yenye kuhitaji serious concentration ili iweze kuleta mchango mkubwa lakini hatu-invest katika maeneo hayo. ....Sasa hv tuna spend pesa nyingi katika kukarabati barabara zinazopitisha magari makubwa ya mafuta na mizigo, gharama hizi zingeweza kuepukika kwa kuboresha reli ya kati na Tazara na hata kuweka pipeline Dar to Kigoma/ Mwaza na kupunguza uharibifu wa njia zetu..... haiwezeka mtu mwenye akili timamu ukawa na kipaumbele katika mazingira ambayo wanufaikaji ni wachache...... MKJJ ukianza kuelezea matatizo you can list a lot kulingana na eneo la nchi. ......mfano, Je, ni sahihi kuwa na sera ya kilimo katika mazingira ya wavuvi? ..................Tunahitaji kuchambua kwa kina hii issue.