Ila tuache utani George Washington alikua mwamba Aisee kuanza movement pale Jimbo dogo la Massachusetts mpaka kufanikiwa kuunganisha majimbo mengi Kwa ushirikiano na jamaa zake haikua mchezo aisee!
Waingereza hawakuamimi Ndio mwisho wao hivihivi maana zile battle zilikua balaa!