Ona alivyofanywa 'MC Gichogo' baada ya kutapeli watu

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Jumamosi juzi alichukua 1.5mn za u MC akiahidi atafanya pale Danken na tena kumbe akachukua pesa zingine kuwa atahudumu kama MC kule Picolo!

Siku yenyewe alituma mtu amshike pale Danken lakini wenye harusi wakamkataa wakataka mpaka wamuone mwenyewe basi ndio akaja fasta.

Ilipofika wakati wa chakula wale wa sherehe nyingine ya kule Picolo nao wakaja kwani walikuwa wameshajua yuko Danken baada yakumtafuta kwa muda.

Bahati nzuri walipofika Danken alikuwa tipped akatoroka ila waliomfuata wakajua na kumfukuza mpaka wakamkamata nje karibu na kwa Mzee Mwinyi na wakaanza kumpiga na badae wakamrudisha Picolo na kumfungia kwenye chumba huku wakiendelea na harusi yao pamoja na kumpa kichapo kingine na mwishowe walimsimamia mpaka amewarudishia pesa yao!

Wale wa Danken nao bado wanadai sababu aliwakimbia hakumaliza harusi yao!

Kwa hiyo nimeona niwaonye ndugu kwani huyu ndiye aliyekuwepo kwenye send off ya Nicole Kundi wa Evarist Mashishi na Anna Masta pale Danken jumanne iliyopita msije mkatapeliwa kwani hii inaonyesha ni tapeli haswa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajiharibia kazi yake kisa tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

industry ya harusi ina hela nyingi sana ukijua kutumua fursa.. kwenye harusi watu hawanaga ubahili wanaamini siku moja tu maishani...

kila wiki unapiga hela kwenye siku moja ya mtu maishani..

wakina spesho, na yule mtoto wa rugemalira wanapiga sana hela kwa ku overprice mishono tu..
 
Yani wanapiga hela. Bado wale wa mapambo nao wanapiga jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…