Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ila hafanani na utapeli kabisaaisee kuna watu wanatumia mdomo kutengeneza pesa sisi wengine tunavutia bangi.
ila hicho kichapo kilikuwa kidogo
Pesa ina tabia ya kutotosha. .... haijawahi kuwa inatosha.sio usiku mmoja.. masaa matatu tu.. maana mc haendi kanisani wala photoshoot....
watu masaa matatu tu wanaingiza mshahara wa watu kazaa wa mwezi mzima
1.5 sherehe moja???
Nimependa mguu wako aisee so inviting1.5 sherehe moja???
Mbona hiyo kawaida,1.5 sherehe moja???
Hawa washenzi walipee kodiMbona hiyo kawaida,
masanja anachukua 3m million
na Gala B 2 million
Sent using simu yangu
Na pesa yote karudisha kwenu,dawa ya tapeli ni kibano tu na kumtemesha pesaNgoja nimsaidie mleta uzi maana nilikuwa mmoja wa wajumbe wa kamati ktk harusi mojawapo.
Hiyo 2m plus mziki na dj ndio huwa wanachaji hivyoMbona hiyo kawaida,
masanja anachukua 3m million
na Gala B 2 million
Sent using simu yangu
kwa masanja ndio ila sijajuaHiyo 2m plus mziki na dj ndio huwa wanachaji hivyo
Sent using simu yangu
Hao walikuwa Mzinga troup, na hapo walikuwa wanamsema Kinyonga...hashiki panga wala bunduki anakula kwa ulimi wake.Nimekumbuka ule wimbo anakula kwa ulimi wake
Wasingetembelea ist kwa mtonyo huo,humuoni mc pilipili na X3 yake,unafikiria wao hawapendi magari mazuri,masanja,godwin gondwe,mpoki hao najua wanakula 2m ila hawa wengine ukitoa 2m unalipia vyombo na djkwa masanja ndio ila sijajua
Gala B maana muda mwingine anakuaga yeye mwenyewe pasipo team yake mpiga picha anaitwa
the bestlusa na djwake
Sent using Jamii Forums mobile app