Uchaguzi 2020 Ona alivyokiuka kiapo chake, hafai kuongezewa mitano tena

Unaweza kuongea kwa kumaanisha vizuri ila wanaokusikiliza kila mmja atakuja na tafsiri yake hata darasani mwalimu anafundisha wanafunzi ila wote hawawi wa kwanza hivyo kila mtu na uelewa wake.
Mimi nimemwelewa hivi Rais ,Msimchanganyie Betri na gunzi kwasababu miradi inakwamishwa kwa makusudi sehemu zenye magunzi,kingine kunakuwa hakuna connection kati ya mbunge na wizara hadi kwa Rais maana hata ziara za mheshiwa huwa magunzi yanakimbia ila sehemu zenye wabunge wa Ccm wakipewa nafasi wanatoa kero za jimbo .all in all mheshimiwa hataki stress anataka miradi yote ifanikiwe kwa haraka gunzi zinamchelewesha ,TUMECHELEWA MNO....
Maendeleo hayana Chama *Tanzania na Magufuli ni Salama*
 
Duuuu!
 
Kumpigia kura huyu mzee labda niwe nimelaaniwa
 
Yaani ni afadhali ulale tu, kumpa kura mtu ambaye hajali maumivu ya wengine ni kujitafutia msiba. 2015 wengi hatua tunamjua vizuri lakini kwa sasa sote tumemwona rangi yake halisi.
 
Udikteta mwisho mwaka huu.
 
Hakuna namna ambayo mbunge anaweza kukwamisha maendeleo, tena kwa kipindi hiki hata yaliyokua mapato ya halmashauri mengi yamehamishiwa serikali kuu.

Ni sawa kwa wewe kumwelewa hivyo, lakini ukweli unabaki palepale kuwa anakiuka kiapo chake.
 
Huko kuapa kwa kushika bibilia ni Fashion tu.
Huyu MTU alisema anataka akifa akapewe malaika awaongoze taratibu kwa kuwa alikuwa ni kiongozi mzuri duniani".
Sasa hapo tunavyojua sisi wakristo kiongozi wa malaika ni mikaeli ambaye ndie kristo Yesu mwenyewe
Hivyo jamaa kuna muda huwa anaitamani nafasi ya Mungu(Yesu) kwahiyo hawezi kumheshimu mtu unaeamini unaweza kuipewa nafasi yake
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi watadai wameibiwa kura.
 
Eeenh Heee...

Wewe ni /au ulikuwa mwanafunzi mgumu kufundishika.

Ulikuwa ukiweka unayotaka wewe na unaondoa uliyofundishwa na mwalimu.

Dunia haiendi kwa vurugu namna hiyo.

Kila jambo lina taratibu zake, hata huko kujifunza shuleni kuna taratibu zake. Wewe kwa kichwa chako ngumu, kama huyo unayemsemea hapa unaamua kufanya mambo nje ya taratibu, bila shaka matokeo yake yatakuwa sio mema; kama inavyoelekea kutokea hapa, hapo tarehe 28 Oktoba.
 
Tayari wapambe wake wakiongozwa na Kangi Lugola wamesha anza kumwita YESU
 
Nimekuelewa mkuu, hata mimi naungana na wewe kuwa Jiee akitoka madarakani ashitakiwe pia asiachwe tu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili. Subiri tuwagonge 28.10.2020, baada ya hapo tunawashughulikia ili kung’oa mabaki yote ya vibaraka, in 5 years mtakoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…