Uchaguzi 2020 Ona alivyokiuka kiapo chake, hafai kuongezewa mitano tena

Suluhu ya yote ni Katiba mpya! Ile kusema Rais Hashtakiwi wala kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya ndio inampa mtu kifua ila wangekuwa wanaburuzwa kortini kama nchi zilizoendelea wanavyofanya!
 
Bila shaka tulikuwa tunawasubiri ninyi....... Hata mwl. Nyerere aliupokea upinzani pia ndani ya familia yake mwenyewe na angekuwa na hicho unachokisema sijui familia au nchi ingekuwa kwenye hali gani.......?

Na tukienda kwa mtindo huu, USAID watakuja kufadhili ujenzi wa vyoo kila siku, tubadilike
 
Unaongea kuvunja kiapo leo na hao walioua kipindi cha JK na madudu ya hovyo kabisa kama Escrow na Dowans n.k na rushwa zilizokithiri kila ofisi ya umma ,swala kiapo cha Magufuli ni la kwake na Mungu sio wewe uhukumu na yeye ni mwanadamu na maelezo hayo hayabadili chochote Rais ni Uncle kipindi kingine tena.
 
Kama wewe ni mwanafunzi, unayo taabu kubwa darasani. Hujui kujieleza, na mifano unayotumia haiendani na yanayozungumzwa.

Haya, msubiri huyo "uncle" wako. WaTanzania wataamua hiyo 28, na hakuna hakika kwamba huyo 'uncle' wako atapita.
 
Hakuna kauli iliyonisikitisha kama kusema msipochagua chama changu siwaletei maendeleo. Nasema bora hayo maendeleo yasije lakini kwa hili kura yangu ameikosa.
 
Kama wewe ni mwanafunzi, unayo taabu kubwa darasani. Hujui kujieleza, na mifano unayotumia haiendani na yanayozungumzwa.

Haya, msubiri huyo "uncle" wako. WaTanzania wataamua hiyo 28, na hakuna hakika kwamba huyo 'uncle' wako atapita.
Mwanafunzi mwanao hujaelewa nini na ulichoandika ni nini ,maana hujanijibu .
 
Lijinga likubwa, Dkt Magufuli ndiyo rais wako!
Hakuna haja ya kejeli ndugu mwana CCM, ni kweli kuwa Magufuli ndio rais wetu mpaka pale Lissu atakapo apishwa mwezi wa 11 mwaka huu. Baada ya hapo atakua rais mstaafu wa awamu ya tano.
 
Hakuna haja ya kejeli ndugu mwana CCM, ni kweli kuwa Magufuli ndio rais wetu mpaka pale Lissu atakapo apishwa mwezi wa 11 mwaka huu. Baada ya hapo atakua rais mstaafu wa awamu ya tano.
Hahaha ewe pimbi ujue watanzania hawamuamini huyo punga wenu, kibaraka wenu asubiri tu komeo. Sisi ndiyo chama chenye uzalendo na Tanzania. Vibaraka hawana nafasi zaidi ya kuwakataa na kuwaangamiza ili uzaliwe upinzani mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…