Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

Sun Wukong

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
1,159
Reaction score
2,309
Basi bwana leo nikaamua kupiga nguna na dagaa (chakula changu pendwa) nikaamua kuchat na Ai hizi sio zote ila nitaweka part nilizozipenda Cheki msosi kwanza...

Oya dagaa zinamchanga sana ptuuuuuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nakula kibishi tu

Ona Ai sasa



Hapa ndipo alipo nichekesha



Cc Gily Gru
 
Akili mnemba hio niliitest tokea 2023 inachat kihuni balaa, ni wewe tu uidirect unataka ichat vipi japo ina limitations, kwa ile namba yake ya whatsApp
πŸ˜€
 
Akili mnemba hio niliitest tokea 2023 inachat kihuni balaa, ni wewe tu uidirect unataka ichat vipi japo ina limitations, kwa ile namba yake ya whatsApp
πŸ˜€
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…