Ona hapa Tabia zinazokera na Uchafu wa watu wanaokaa au kupanga Nyumba Chumba Single Self

Kuna jamaa yangu choo yake haweki hata ndala kwa jinsi anavyoiamini, ni mwendo wa kupekua tu ukiwa chooni.
 
Bi mkubwa alitulea kwa kuingia chooni peku
 
Umenikumbisha bibi angu alivyokuja toka mkoa ilikuwa ugomvi kwenda chooni manake ni cha ndani, , , , alikuwa anasema sio vizuri unakula, unajisaidia kulaala na kupika humohumo, , , alikuwa anaenda cha nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimefanya sana haya mambo nikiwa chuo ila now nimeacha kimsingi ni mazingira tu yanasababisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umenikumbusha kuna mgeni alikuja home kaingia chooni (chumbani choo cha kukaa) kuna toilet paper na shattuf. Jamaa karudi kamuita house boy anamuuliza mbona hamna maji wala kopo la chooni. Dunia iko uchumi wa kati chooni sio sehemu chafu hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…