Ona hii Uzembe. Kenya tujifunze kitu hapa

Tupo kwenye korona kwanza....Mgonjwa wetu anaendeleaje mkuu?
 
Uzembe wa wabongo ndio huu hapa. Mashine ya oxygen haijatumika kwa miaka minne eti bado wanajitayarisha kuanza shughuli. Hawa madaktari wanastahili viboko

We sema tu ukweli kuwa unataka viongozi wa Kenya wajifunze kwa viongozi wa tz katika kuipigania nchi dhidi ya rushwa,uzembe,uvivu ,wizi ,ufisadi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enyewe locust imetushinda wakenya,hii corona tutaiweza kweli
 
Hawa ndio zao hununua vifaa wasivyovijua jinsi ya kuvitumia vinaishia kukaa bure bila matumizi.
 
Pamoja na uzembe lakini hiyo ni moja ya hospitals zilizopo vijijini interiors, hiyo ndio challenge ya development

Magufuli kajenga mamia ya hizo hospitals nchi nzima na zenye vifaa vya kisasa lakini inawezekana wahudumu wa maeneo hayo ya vijijini hawajawahi kutumia hizo machines hawana mafunzo kutokana na kua vya kisasa sana au Hakuna population kubwa ya wagonjwa wa kuhudumiwa.
 
Jamaa wa vipima joto kwenye airport eti ndio salama dhidi ya Corona, naona hulali bado bado unahangaika, ubongo lala.
 
Mpuuzi sana huyo jamaa, zero brain kabisa. Mimi naamini kama tulivofunzwa enzi zile, mimi na wanarika wenzangu tulipo onana macho kwa macho na kisu chee kabisa kando ya mto. Kwamba hekima ya mwanaume kamili ni zaidi ya elimu darasani na kwamba ni jambo la busara kwa mwanaume kusema mengi kwa kubaki kimya au kutumia maneno machache.
LOL taarifa ya Tanzania ipo straightforward, Tanzania haina Corona period Una lingine?
LOLMpuuzi sana wewe
Testing new virus labs ndio Corona test kits?
Mambo mengine sio lazima uongelee kama akili yako ni finyu kupita upeo wa issue husika.
 
Pamoja na uzembe lakini hiyo ni moja ya hospitals zilizopo vijijini interiors, hiyo ndio challenge ya development

Magufuli kajenga mamia ya hizo hospitals nchi nzima na zenye vifaa vya kisasa lakini inawezekana wahudumu wa maeneo hayo ya vijijini hawajawahi kutumia hizo machines hawana mafunzo kutokana na kua vya kisasa sana au Hakuna population kubwa ya wagonjwa wa kuhudumiwa.
Wagonjwa wapo. Si kweli hata kidogo kuwa wagonjwa wa kutumia haya mashine hawapo. Mko na oxygen machine ambayo ni bei ghali sana lakini inaozea hapo kwa miaka minne kwa sababu ya uzembe huku watoto wanaohitaji oxygen wakifa. Hii ni laana.
 
LOL Punguza shobo, inaozaje?
 
Jamaa wa vipima joto kwenye airport eti ndio salama dhidi ya Corona, naona hulali bado bado unahangaika, ubongo lala.
Mpuuzi sana huyo jamaa, zero brain kabisa. Mimi naamini kama tulivofunzwa enzi zile, mimi na wanarika wenzangu tulipo onana macho kwa macho na kisu chee kabisa kando ya mto. Kwamba hekima ya mwanaume kamili ni zaidi ya elimu darasani na kwamba ni jambo la busara kwa mwanaume kusema mengi kwa kubaki kimya au kutumia maneno machache.
LOL mmekosa hoja ya hospital naona bado sindano kuhusu Corona test kits inafanya kazi barabara 😂😂😂😂😂
 
Toba
Yaani watoto wamekufa kwa kukosa hewa na wao wana ventilator hapo imekaa tu kama display
Kweli ubongo wa mwafrika uchunguzwe sana
Na hao ndio wamepewa dhamana ya kutuangalia na elimu zao hizo
Wanakera sana na wanastahili kufukuzwa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hadi hapo darasa limekuingia, vipima joto ulivyokua utapumia humu ni toys tu.
Wataelimika tu, kwa shuruti, wapende wasipende. Spot the difference; Leo,
LOL mmekosa hoja ya hospital naona bado sindano kuhusu Corona test kits inafanya kazi barabara
Jana,
LOL Mpuuzi sana weweTesting new virus labs ndio Corona test kits? Mambo mengine sio lazima uongelee kama akili yako ni finyu kupita upeo wa issue husika.
nitaanza kuitisha karo hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom