Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
tumia browser i recommend chrome picha utaziona vzuriPicha hazifunguki kwenye simu yangu. naonaje hiyo plasta?
Kwenye jamii Forum ya simu utawezaje kutumia browser ya chrome wakati hii forum inajitegemea kama App.tumia browser i recommend chrome picha utaziona vzuri
nenda playstore download chrome browser kupitia simu yako kisha search jf kweny web ulog in kupitia web kwa sim yako tatizo la picha utakua ume malizana nalo App unayo tumia kweny kuonesha picha kwa sasa imekua tatizo na Melo amekaa kimya ajatolea ufafanuzi hili suala kabisaKwenye jamii Forum ya simu utawezaje kutumia browser ya chrome wakati hii forum inajitegemea kama App.
Au nitumie computer?
Natumia simu ya Sumsung Note 8
Asante mkuu nitajaribu. Ngoja jiikumbuke password yangunenda playstore download chrome browser kupitia simu yako kisha search jf kweny web ulog in kupitia web kwa sim yako tatizo la picha utakua ume malizana nalo App unayo tumia kweny kuonesha picha kwa sasa imekua tatizo na Melo amekaa kimya ajatolea ufafanuzi hili suala kabisa
Delete hiyo app ya jf...Kwenye jamii Forum ya simu utawezaje kutumia browser ya chrome wakati hii forum inajitegemea kama App.
Au nitumie computer?
Natumia simu ya Sumsung Note 8
Sawa ile inaniambia niweke e-mail yangu.Delete hiyo app ya jf...
Hakuna shida mkuuSawa ile inaniambia niweke e-mail yangu.
Vipi usalama wa ID yangu hapo, na e-mail zinahakiwa.
Samahani lakini nauliza tu.