Ona soko zuri na bei nzuri ya kuuza mbaazi zako Dar es salaam

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
BM Impex, wananunua mbaazi kwa bei inayomnufaisha mkulima.

Uza mbaazi zako DSM kutoka mkoani kwa bei zifwatazo.

Mbaazi za Arusha sh. 1000@kg.
Mbaazi za Mtwara sh.900@kg.

Wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM IMPEX no. 0653422776.
 
Hivi zikoje hizo,nasikia tu,waweza weka picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…