Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
267
Reaction score
153
Uyo jamaa kulia ni Raisi wa shirikisho wa Filam Tanzana na kushoto kabsa ni jamaa muigizaji kutika Ghana
 
Kweli kiongozi yaani mtanzania kavaa nguo inayoitangaza England wakati Mgeni kavaa jezi ya Tanzania,kweli rais kazi diva.
 
umenikumbusha kuna siku kiongoz fulan alikuja marekan akapelekwa kwenye chuo. akatoa hotuba kwa lugha ya kiingereza. cha ajabu mzungu aliotoa hotuba kwa niaba ya chuo. akatoa hotuba kwa kiswahili. mkuu akaanza kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Huyo ni mwigizaji maarufu wa Ghana anayeigiza na Wanaigeria anaitwa Van Vicker.

Sawa mkuu sasa unatuambia nini hapo?

Mimi nafikiri mleta mada anazungumzia Uzalendo huyu Mghana anaonekana amevaa Tshet yenye Rangi ya Bendera ya Tanzania na pia inaonyesha maneno iliyoandikwa ni TANZANIA wakati huyu wa kwetu amevaa shati lenye bendera ya UK.
 
Na hii ni issue kwelikweli....huwa mimi sipendi nunua bongo movies kwani nyingi huwa zinaniudhi mara niangalipo....wanawake wa kibongo wanalegea km milenda wakidhani wanakuwa sex kumbe wanachosha, kuna matumizi ya kijinga ya kiingereza wakidhani kuwa wanajenga mazingira ya kuuza nje.Wana kingereza kibovu sana.Timing ya events ni ya kitoto..halafu movie hazina big idea...
 
Huyo ni mwigizaji maarufu wa Ghana anayeigiza na Wanaigeria anaitwa Van Vicker.

Sawa mkuu sasa unatuambia nini hapo?
Ni kweli hamna cha ajabu hapo. Manaake huyo mbongo nae ni muigizaji anaeigiza mbongo anaejifanya wakala wa waingereza. Ndio fani yenyewe hiyo. Upuuzi mtupu!
 
Kweli kiongozi yaani mtanzania kavaa nguo inayoitangaza England wakati Mgeni kavaa jezi ya Tanzania,kweli rais kazi diva.

Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
 
​Na HII ETI NI HABARI ya KISIASA? Na MODS wetu wameiaprove? Kweli sijui Mimi niko DUNIA GANI sielewi MENGI...

Kwani siasa ni nini? Kutaja Chadema na ccm? Cheki vzr picha mkuu utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…