Once a friend always a friend

Once a friend always a friend

Dr Dre

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
2,664
Reaction score
2,810
Helloo.. jamii friendszone.

This week natua Makao makuu ya nchi(Dodoma) nikitokea DSM, ningependa kupata mwenyeji au rafiki atakayekuwa mwenyeji wangu na atakeyenipa company pindi nitakapokuwa hapa kikazi kwa takriban siku 7
Age yangu ni 28

Nitashukia hotel na nitakuwa na usafiri wa kampuni.

Mwenyeji atapata huduma zote muhimu kwa wakati wote atakaokuwa na mimi.

Awe jinsia yoyote lakini akiwa mwanamke itapendeza zaidi.

Age above 18.

Karibu PM ipo wazi rafiki
 
Wenzako huwa wanatafuta washkaji wa kiume alaf wana ndo wanatoa connection za madem ambao ni mseleleko..ukitegemea demu aje PM utalala siku zote 7 hotelini pekeako [emoji23]
 
Uje pande za "stella" bar hapo jioni kampani ipo yakutosha
 
Back
Top Bottom