Once upon a time (vijana wa kazi)

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505

Hili sio kundi la wanamuziki wa Westlife

Hawa wakifanya makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka

Unakumbuka nini?
 
Namuona scholes pale kushoto kabisa, kitambo sana kwenye b.gum stika
 
Paul scholes,Wyne rooney,Reo ferdinand,Ruud van nistelrooy,John O'Shea,Alan Smith,namuona Kwa nyuma Park ji- sung watu kazi!!!!
 
View attachment 2618567
Hili sio kundi la wanamuziki wa Westlife

Hawa wakifanya makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka

Unakumbuka nini?
Paul Scholes, Rio Ferdinand, Alan Smith, John O'shea kwa mbaaali namuona Ruud Van Nistelrooy

Man Utd hii ndo Mourinho aliwahi kulalamika kuwa ili upate penati Old Trafford labda upigwe kisu
 
View attachment 2618567
Hili sio kundi la wanamuziki wa Westlife

Hawa wakifanya makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka

Unakumbuka nini?
aisee kweli nimeamini wazungu ni albino.......
hapa ferd alikua keshapigwa kile kifungo cha kutumia madawa au ilikua bado?......

hii bila shaka ni kati ya 2004-2007 hivi,,,,,,, hawa walikua wanabebwa sana na waamuzi
 
Sio uwezo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…