Ondoa shombo ya kitimoto kwa giligilani

Ondoa shombo ya kitimoto kwa giligilani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1581447455738.jpeg


1581447526218.jpeg


Ukweli kiti moto kina shombokali na ukikosea kuipika itakushinda kula hasa roast. Giligiliani majani haya hukatashombo yote.

Kata giligilani uchemshe pamoja na limao au ndimu. Maji haya yakikauka ndiyo uiache nyama ijikaange yenuewe.
 
Back
Top Bottom