Ondoa stress na Idd Amin

Huwa naingia You tube kuangalia clips zake...Jombaa alikuwa ni shida
enzi za utawala wake alimiliki Dollar million 76
inasemekana aliacha watoto wapatao 43 na hao alizaa na wanawake tofauti tofauti!
 
Alihost mkutano wa OAU enzi hizo. Kikundi cha ngoma kutoka jeshini kilitumbuiza wageni. Alimpenda mcheza shoo mmoja. Mpaka mwisho wa mkutano alishamuoa na Yaser Arafat a kawa best man.
 
Alihost mkutano wa OAU enzi hizo. Kikundi cha ngoma kutoka jeshini kilitumbuiza wageni. Alimoenda mcheza shoo mmoja. Mpaka mwisho wa mkutano alishamuoa na Yaser Arafat a kawa best man.
Kumbe alikuwa mtu wa totoz sana!
 
Alihost mkutano wa OAU enzi hizo. Kikundi cha ngoma kutoka jeshini kilitumbuiza wageni. Alimoenda mcheza shoo mmoja. Mpaka mwisho wa mkutano alishamuoa na Yaser Arafat a kawa best man.
Duh, lijamaa lilikuwa libabe sana, nasikia alikua analazimisha..ukikataa utakiona cha moto.
 
Napenda mfatilie historia ya idd amin kwa upande wa kushoto usiridhike na historia tulizosoma shulen mana kuna mengi yalofichwa. n sawa na kifo cha Adolf Hitla tunavyodanganyana piya
 
Weka hapa tujue
 
Huyu jamaa aliacha stori kwa kweli.
 
Huwezi kutafuta historia ya kweli ya Idd Amin kwenye vyanzo vya TZ ukaipata, zaidi ya kuambiwa alikua anakula roho za watu kitu ambcho syo kweli
 
Wawaulize waganda mbona hawana hii historia mbaya inayofanana na bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…