Ondoa stress

Ondoa stress

Ha ha ha...hilo jamaa si lichukue boda boda.
 
Sasa hilo libwege mbona lisiache demu atongozwe, linajichomekea kwa gari ya watu.
 
Jamaa kwa mbio zile za kutembelea kitonga kama ndo angesema aende town bila gar angekua ashafika na karud
 
Back
Top Bottom