JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Kweli aise.Iko pia sana maana mwanaume upaswi kupenda vya bure
Jamaa boya sana, au labda wife wake.Sasa hilo libwege mbona lisiache demu atongozwe, linajichomekea kwa gari ya watu.
Ha ha ha...kweli aise.Jamaa kwa mbio zile za kutembelea kitonga kama ndo angesema aende town bila gar angekua ashafika na karud