Makacha Fikirini
Senior Member
- May 16, 2017
- 122
- 43
mkuu maji yapo kila sehemu.Ila kila sehemu hutofautiana upatikanajiwake wa miter kwenda chini.Vile vile kisima kina aina tatu za bei,hii ni kutokana na umbal wa maji ulipoHivi maji ni kila sehemu ukichimba unayakuta???
Na kisima mpaka kinakamilika average kina cost bei gani?
mkuu maji yapo kila sehemu.Ila kila sehemu hutofautiana upatikanajiwake wa miter kwenda chini.Vile vile kisima kina aina tatu za bei,hii ni kutokana na umbal wa maji ulipo
ww unatakiwa uniambie upo sehem gan?hapo ndipo nitakapokwambia maeneo hayo ni miter gan?Nafikiri ungefafanua kidogo
Mf. Mnatoa huduma ya kutafiti maji?
Mnachimba kiasi gani kwa mita au average
0 to 30, 31 to 70, 71 to 100 and above 100?
16 mMaeneo ya kisarawe unachimba shilling ngapi
Mimi nipo morogoro manispaa ( nje kigogo ya mji kama kms 8ww unatakiwa uniambie upo sehem gan?hapo ndipo nitakapokwambia maeneo hayo ni miter gan?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app