Ondoka Konde Boy WCB

Joined
Jun 4, 2019
Posts
14
Reaction score
23
Mwanafalsafamweusi ONDOKA KONDE BOY
Kuondoka wa @harmonize_tz kwa @diamondplatnumz ni sahihi kwa sasa na hizi ni faida atakazo zipata

1.Anaenda kuwa mshindani namba moja wa @diamondplatnumz Tanzania Baada ya Alikiba kuonesha si mshindani.
2.Anaenda kuwa mshindani wa WCB kwa kuanzisha Lebal yake akiwachukua Q Chief na Rich Mavoko Pamoja na Juma Nature na Mario.
3.Anaenda kuubadili mziki kutoka kwenye kile watu walichoamini kuwa mziki mzur lazima utoke WCB tu na hicho kilifanywa kwa fitina za mameneja wa Diamond kwa kuwanunua watanagazaji wa redio nyingi nchini wapige nyimbo zao tu.Sasa mziki utakuwa ni wawatu wote kila msanii atapewa nafasi.

HASARA
kunabaadhi ya mashibiki wa @diamondplatnumz atawapoteza @harmonize_tz na watamchukia kabsa lakini atapata mashabiki wengi kutoka team @officialalikiba na wale waliokuwa hawamkubali kabsa Mondi.

MATOKEO YA USHINDANI HUU
Lazima @harmonize_tz atapanda na kuwa champion sio kwakuwa yeye ni bora kuliko @diamondplatnumz hapana ni kwa kuwa watanzania walihitaji mpinzani wa uhakika wa Diamondi ambae sasa ameshakuwa ni @harmonize_tz
Wote ni waandishi wazuri wa nyimbo ila @harmonize_tz anapomzidi Modi ni kuepuka Matusi kwenye nyimbo zake kwahyo anapendwa na rika zote tofauti na Mondi wazazi kwa sasa hawamuelewi.

Nguvu ya Mamenejea wa Mondi Salama ,Fella na Talle inaenda kuisha kwa kuwa sasahivi hawana ushawishi tena kwenye Media kubwa East Africa TV,ITV,Clouds hawapigi ngoma za wasafi wamesha puuza propaganda za mziki wa sehemu moja.Kwahiyo @harmonize_tz akitoka WCB nyimbo zake huku kote zitapigwa na Atapanda sana japo @diamondplatnumz nae ataendelea kuwepo tu .

Sasa ni wakati sahihi wa @harmonize_tz kutoka ili WCB kuubadili mziki wa Bongo Fleva na urudi mikononi mwa wa Tanzania sio kwenye kikundi cha watu wachache walio uwa makundi mazuri ya muziki na kutulazimisha tuwasikilize wao tu kama TMK,TPTOP,YAMOTO BAND, Ili wabakie wao tu.
Ameandika
Mwanafalsafamweusi
 
Kama amejipanga vyema kukabiliana na fitna,majungu,chuki,matusi,fedheha,dharau nk nk namtakia kila la kheri vinginevyo akiwa na roho ya kimama ajipange kupotea kwenye game...
















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
Wobongo na lowself esteem!!kama dogo alijiunga wcb bila ushauri wenu,nadhani hata kutoka pia haitaji ushauri wenu,sisi tubaki kuwa mashabiki tu,and it is not a general rule kwamba ukitoka wcb laxima kulost..!!huu mi ushindi kwa grouds media,particularly bdozen.
 
Mkuu unasema Harmonize haimbi matusi? Umemaanisha kweli? Au aliyeimba "inama nipachike rungu" sio yeye.
Halafu harmonize akifuata ushauri wa watu kama nyie, wa kutaka kuweka ligi na WCB atapotea. Harmonize ni nakala ya Mondi kwa vitu vingi. Mfano, ni sawa na hawa wana-hip hop/rappers wetu watake kushindana ili kuwa bora zaidi ya "wenye muziki wao" kule unyamwezini.
 
Mkuu kwanì "kupachika rungu" ni tusi?
 
Konde anazijua fitna zote. Sasa akazitumie hizo fitna na aongeze ma ujanja yake.
Wasafi tutawasikia tu.
Najua kina Tale,Salam,Fella hawajafurahi.
Harmonize atakuwa analitambua hili.
Jana nimemsikia Sallam akisema Raynavy kapanga ile nyumba.
Eti wanawashauri kupanga ili pesa wainvest kwenye mziki.
Sasa ni upumbavu kupanga mamilion kwenye mjumba kama ule.
Kwa nini usipange nyumba ya kawaida halafu unajenga kidogo kidogo?
 
Ila aisee kuanguka kwa mondi kumetabiriwa miaka mingi sana

Huyu jamaa hawezi kuanguka kiboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…